$ 0 0 Mbunge wa Monduli na waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa akiwa na Nguli wa kughani mashairi nchini, Mrisho Mpoto 'Mjomba' kwa m,azungumzo katika ofisi ya Mbunge huyo jijini Dar es Salaam leo.