Quantcast
Channel: Father Kidevu
Viewing all articles
Browse latest Browse all 10588

RAIS KIKWETE ALIPOKUTANA NA RAIS WA KANISA LA SEVENTH DAY ADVENTIST DUNIANI

$
0
0
 Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete katika mazungumzo na kiongozi Kanisa la Waadventist Wasabato (SDA) duniani, Dkt. Ted Wilson aliyemtembelea pamoja na ujumbe wake wa viongozi wa kanisa hilo kutoka nchi 11 za Afrika Ikulu Jumamosi February 7, 2015, Usiku jijini Dar es salaam.

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja baada ya mazungumzo na kupata chakula cha usiku na kiongozi wa  Rais wa kanisa la Seventh Day Adventist (SDA) duniani,  Dkt. Ted N.C. Wilson aliyemtembelea pamoja na ujumbe wake wa viongozi wa kanisa hilo kutoka nchi 11 za Afrika Jumamosi February 7, 2015, usiku Ikulu jijini Dar es salaam.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 10588

Trending Articles

<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>