WADAU WA VUNJO WAMTAKIA HAPPY BETHDAY KAMANDA WAO INNOCENT
Naibu kamanda wa umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi wilaya ya moshi vijijini ambae pia anatajwa kutakiwa kuwania ubunge jimbo la vunjo Innocent Melleck shirima leo 06/02/2015 ni siku yake ya...
View ArticleUSIKU WA ZOURHA WA TIME FM ULIVYOFANA
Zourha na George wanapendeza Mtayarishaji wa Vipindi wa Radio FM, Zourha akimkabidhi zawadi ya Laptop mume wake mtarajiwa ambaye pia ni Mtalaamu wa IT wa kituo hicho, George Zuri wakati wa sherehe ya...
View ArticleMAHAKAMA: MACHA MNUNUZI HALALI NYUMBA YA BALENGA
NA MWANDISHI WETUMAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imethibitisha kwamba mfanyabiashara Hans Macha alinunua nyumba kwa kufuata utaratibu na kihalali kutoka kwa Ramadhani Balenga.Hayo yalithibitishwa leo...
View ArticleNYUMBA YATEKETEZA WATU SITA WA FAMILIA MOJA KWA MOTO KIPUNGUNI DAR ES SALAAM
Lucas Mpira maarufu Google enzi za uhai wake.VILIO, majonzi na simanzi ya hali ya juu vimetawala kwa wakazi wa wa Kipungini A, Ukonga banana jijini Dar es Salaam kufuatia vifo vya watu sita wa familia...
View ArticleZIARA YA VYOMBO VYA HABARI YAMKUTANISHA NAPE NA MBOWE
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnuye akikutana na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe alipofika katika Ofisi za Free Media, wachapishaji wa gazeti la Tanzania Daima, leo akiwa katika ziara...
View ArticlePINDA AAHIRISHA BUNGE MJINI DODOMA LEO
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisoma hotuba yake ya kuahirisha mkutano wa Bunge mjini Dodoma leo.Mbunge waManyoni Mashariki, Kapteni Mstaafu John Chiligati, akichangia hojaMbunge waBariadi Mashariki,...
View ArticleRAIS KIKWETE AHUDHURIA MAZISHI YA MAMA MZAZI WA JAJI AUGUSTINO RAMADHANI, DAR...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu Bibi Bridget Ramadhani, Mama Mzazi wa Jaji Augustino Ramadhani, wakati wa mazishi Ijumaa February 6,...
View ArticleSIMBA YALAZIMISHWA SARE NA COAST UNION MKWAKWANI TANGA LEO
Mabingwa wa kombe la Mapinduzi, Simba ya Dar es Salaam leo imegawana pointi na Mbwa Mwitu wa Tanga, Coast Union katika mchezo wa ligi kuu ya soka Tanzania bara uliopigwa jioni ya leo katika uwanja wa...
View ArticleKIMBULU YA MZEE MAJUTO SASA IPO MTANDAONI
Si Kila Unayemkuta Kijijini ni mshamba wengine wanajua na wanaweza kuliko wewe. Mzee Mbunda na wajukuu zake jembe na Edo Madirector Kutoka mjini wanaingia kijijini na kuwa na maisha ya kimbulu yaani...
View ArticleMFUMUKO WA BEI NCHINI WAPUNGUA
Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Bw. Ephraimu Kwesigabo akitoa taarifa ya kupungua kwa mfumuko wa bei nchini kwa mwezi Januari, 2015 leo jijini Dar es...
View ArticleKULIMA, MWALIMU WASHINDA MAGARI YA AIRTEL YATOSHA ZAIDI
Mkulima toka mkoani Pwani Ramadhani Dilunga miaka 53 na Mwalimu mstaafu wa Mtwara bw, Namtapika Kilumba (60) ni miongoni mwa Watanzania watatu walioibuka washindi kwenye droo ya kwanza ya Airtel...
View ArticleYAMOTO BAND WATEMBELEA ZURII HOUSE OF BEAUTY NA KUKABIDHIWA TICKET ZAO TAYARI...
Kutoka kushoto Enock, Maromboso, Beka na Aslay wakiwa wameshikilia ticket zao za ndege ambazo walikabidhiwa rasmi na mkurugenzi wa Zurii house of Beauty Jestina George Meru.Yamoto Band wanatarijiwa...
View ArticleRAIS KIKWETE ALIPOKUTANA NA RAIS WA KANISA LA SEVENTH DAY ADVENTIST DUNIANI
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete katika mazungumzo na kiongozi Kanisa la Waadventist Wasabato (SDA) duniani, Dkt. Ted Wilson aliyemtembelea pamoja na ujumbe wake wa viongozi wa kanisa hilo kutoka nchi...
View ArticleBWENI LA WASICHANA SEKONDARI YA IDODI IRINGA LAWAKA MOTO TENA, LILIWAHI UA 13...
Bweni lililowaka moto.Wananchi na wanafunzi wa shule ya sekondari Idodi Iringa wakishiriki kuzima moto katika bweni la wanafunzi wa kike shuleni hapo amnbalo lilikuwa likiwaka moto...
View ArticleMISS TANZANIA 2013- HAPPYNESS WATIMANYWA AFUNGUA CLUB YA KUJISOMEA WATOTO YA...
Redds Miss Tanzania 2013, Happness Watimanywa (wa pili kushoto), akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Club ya kujisomea watoto ya ijulikanayo kwa jina la Nkema Reading Club iliyopo Kinondoni Mtaa wa...
View ArticleSERIKALI YAJIPANGA KUTUMIA NGUZO ZA ZEGE KUSAMBAZA UMEME
Wataalam wa Sekta ya Umeme kutoka Wizara ya Nishati na Madini pamoja na Shirika la Umeme nchini (Tanesco), wakiongozwa na Kamishna Msaidizi wa Umeme Mhandisi Innocent Luoga (wa kwanza kushoto), wakiwa...
View ArticlePOLISI ANGALIENI HILI KANYABOYA LA KARIAKOO
Hii ni moja ya kipande cha sabuni kilichotumika kufungaswa na kufanikiwa kumwibia mpita njia shilingi 100,000 alipokuwa katika harakati za kutafuta simu kwenye mtaa wa Uhuru Dar es Salaam. Pia hiyo ni...
View ArticleMAZISHI YA WALIOKUFA KATIKA AJALI YA MOTO YAFANYIKA AIR WING UKOMNGA DAR ES...
Waombolezaji wakiwa katika eneo la mazishi jioni hii huko Ukonga Kipunguni A jijini Dar es Salaam kabla ya kwenda kuwazizika ndugu sita wa familia moja waliofariki katika ajali ya moto juzi....
View ArticleMBUNGE WA MOROGORO MJINI AWASHANGAZA WAKAZI WA MOROGORO
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood akisalimiana na wakazi waMitaa ya Kata ya Kichangani manipaa ya Morogoro Katika Mfululizo wa Ziara zake anazofanya katika kata Zote za Jimbi hilo kwa...
View Article