Quantcast
Channel: Father Kidevu
Viewing all articles
Browse latest Browse all 10595

TANGAZO LA MSIBA WA NDG ANDREW MICHAEL KUMALILWA (DCP MSTAAFU)

$
0
0
Marehemu Andrew Michael Kumalilwa enzi za uhai wake
Familia ya Bwana Andrew Michael Kumalilwa inasikitika kutangaza kifo cha wa baba yao mpendwa Bwana Andrew Michael Kumalilwa  kilichotokea tarehe 09 Februari 2015 Jijini Dar Es Salaam.
Marehemu Andrew Michael Kumalilwa alizaliwa mnamo tarehe 10 Machi 1938 na aliwahi kushika nyazifa mbalimbali ikiwepo ya Naibu Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Tanzania  na msiba upo nyumbani kwake Tabata Segerea na Mazishi yatafanyika Kesho Nyumbani Kwake Segerea.
Mungu ailaze Roho ya Marehemu Mahala Pema Peponi - Amina

Viewing all articles
Browse latest Browse all 10595

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>