NAPE AITAKA TUME YA UCHAGUZI KUJIBU HOJA KWA WAKATI
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu Damian Lubuva akisalimia na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye kwenye mkutano wa pamoja na viongozi wa vyama vya siasa wa kujadili...
View ArticleKAMATI YA ARDHI, MALIASILI NA MAZINGIRA, NHC MAFUNZONI AFRIKA KUSINI
Ujumbe wa Kamati ya Bunge ya Ardhi , Maliasili na Mazingira ukiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Kamati, Abdulkarim Esmail Hassan Shah (Mafia), Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi,...
View ArticleTANGAZO LA MSIBA WA NDG ANDREW MICHAEL KUMALILWA (DCP MSTAAFU)
Marehemu Andrew Michael Kumalilwa enzi za uhai wakeFamilia ya Bwana Andrew Michael Kumalilwa inasikitika kutangaza kifo cha wa baba yao mpendwa Bwana Andrew Michael Kumalilwa kilichotokea tarehe 09...
View ArticleRAIS KIKIWETE AZINDUA SERA YA ELIMU,AFUNGUA MAABARA SHULE YA SEKONDARI YA...
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizindua Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 katika hafla iliyofanyika katika shule ya sekondari Majani ya Chai, Kipawa jijini Dar es Salaam leo.Kushoto ni Waziri wa...
View ArticleMATOKEO YA KIDATO CHA NNE NA QT 2014 HAYA HAPA
MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2014 BOFYA HAPA
View ArticlePSPF WATOA SEMINA KWA ASKARI NA WATUMISHI RAIA MAKAO MAKUU YA WIZARA YA MAMBO...
Afisa Matekelezo Mwandamizi(SCO) wa mfuko wa Pensheni wa PSPF Bi. Matilda A. Nyallu akitoa elimu ya Mpango wa Uchangiaji wa Hiari kwa Askari na watumishi raia makao makuu ya Wizara ya mambo ya ndani...
View ArticleSHIRIKA LA EQUALITY FOR GROWTH (EfG) LA ZINDUA MRADI WA MSAADA WA KISHERIA...
Kaimu Mkurugenzi wa Halmshauri ya Wilaya ya Lushoto, Dk.Hassan Shelukindo (katikati), akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mradi wa msaada wa kisheria kwa wafanyabiashara sokoni na ofisi ya mradi huo...
View ArticleNOEL OLE VAROYA CHADEMA ATAukNGAZA KUWANIA KITI CHA UBUNGE ARUSHA
Katika picha ni Noel Olevaroya akihutubia Maelfu ya wananchi katika moja ya harakati zake katika mkutano wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)********Aliyewahi kuwa mwenyekiti wa vijana na...
View ArticleDIONIZ MALINZI ASIMIKWA UKAMANDA WA VIJANA MKOA WA KAGERA
Boda Boda wakiongoza msafara wa Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye kuelekea katika Uwanja wa Mayunga Uhuru Platform tayari kwa kumsimika Kamanda wa Vijana mkoa wa Kagera Dioniz Malinzi...
View ArticleUANDIKISHAJI WA WACHEZAJI KWA AJILI YA KUJIUNGA NA KITUO CHA MICHEZO CHA...
Mkurugenzi wa Uendeshaji wa NSSF, Crescentius Magori akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, leo wakati wa uzinduzi wa mchakato wa usajili wa vijana walio chini ya umri wa miaka 14,...
View ArticleKAMPUNI YA OFF GRID ELETRIC KUFUNGA UMEME WA SOLA NYUMBA MILIONI MOJA NCHINI
Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Umeme Vijijini (REA), Lutengano Mwakahesya (PhD) (kushoto), pamoja na Mkurugenzi Mwendeshaji wa Kampuni ya Off Grid Electric Ltd, wakionesha seti ya mfumo wa vifaa vya...
View ArticleKITUO CHA RADIO 5 WAADHIMISHA SIKU YA RADIO DUNIANI
Wakulima pamoja na vijana kanda ya kaskazini wakiwa katika majadiliano mara baada ya kufanya ziara katika kituo cha Radio 5 nakuona namna inavyoendesha vipindi vyake katika maadhimisho siku ya radio...
View ArticleTAMASHA LA PASAKA MWAKA HUU LITAHUSISHA MICHEZO PIA, LINATIMIZA MIAKA 15
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion inayoandaa Tamasha la Pasaka Bw. Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi zake zilizopo kinondoni Moroco wakati akielezea maadalizi ya tamasha...
View ArticleBodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) yatoa mafunzo kwa wataalamu wake
Mjumbe wa bodi ya wakurugenzi ya PSPTB, Bw, Aziz Kilonge akifungua mafunzo ya Bodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi yaliyofanyika mwishoni mwa wiki kwa kutoa mafunzo kwa walimu ,wataalam wanaosimamia...
View ArticleSITTA AMSIMAMISHA KAZI KAIMU MKURUGENZI WA TPA MADENI KIPANDE
Waziri wa Uchukuzi Mhe. Samuel Sitta (pichani kulia akizungumza na wanahabari leo bandarini) amemsimamisha kazi Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari nchini (TPA), Eng Madeni Shamte Kipande kwa...
View ArticleABDALLAH NA NUSRAT WALIVYOMEREMETA
Bwana Harusi Maneno Abdallah na Mkewe Bi Nusrat Tahwa wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufunga ndoa hapo jana Bwana harusi akielekea kuchukua jiko lake Kimara huku akisindikizwa na wapambe...
View ArticleBENKI YA NMB YAGAWA MSAADA WA MADAWATI NA MEZA ZA WALIMU WILAYANI HAI
Benki ya NMB imetoa msaada wa madawati 40 na meza za walimu wenye thamani ya sh. milioni 5 katika shule za msingi Mwaramu,iliyomo wilayani humo,huku msaada huo ukiwa umetokana na faida inayopata benki...
View Article