Quantcast
Channel: Father Kidevu
Viewing all articles
Browse latest Browse all 10590

LOWASSA ASHIRIKI MAZIKO YA MWAKILISHI JIMBO LA MAGOMENI ZANZIBAR

$
0
0
Waziri mkuu wa zamani na mbunge wa Monduli, Edward Ngoyae Lowassa  akimwaga udogo katika mazishi ya mwakilishi wa jimbo la Magomeni Zanzibar ambaye pia alikuwa mnadhimu na katibu wa wakilishi wa Chama Cha Mapinduzi katika Baraza la wawakilishi na Mjumbe wa kamati Kuu ya ccm Mh Salmin Awadh Salmin kijijini kwao Makunduchi  leo Ijumaa.Marehemu alifariki ghafla jana
 Makamu wa Rais, Dk Mohamed Gharib Bilali akisalimiana na Mbunge wa Monduli na Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa.
 Lowassa akisalimiana na viongozi mbalimbali baada ya kushiriki mazishi hayo leo.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 10590

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>