Quantcast
Channel: Father Kidevu
Browsing all 10590 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA AFUNGUA MKUTANO WA NNE WA WADAU WA MFUKO WA...

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda (Kushoto) akizindua huduma mpya itolewayo na Mfuko wa Pensheni wa PSPF, ya Fao la Uzazi, mwanzoni mwa mkutano mkuu wa wadau na wanachama wa Mfuko huo mjini Dodoma jana....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK. MOHAMED BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA KIMATAIFA LA WATOTO WANAOISHI KATIKA...

Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal (kulia), akimkabidhi Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk.Seif Rashid machapisho mbalimbali baada ya kuzindua kongamano la siku mbili la kimataifa la watoto...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATANZANIA WASALI JUMATANO YA MAJIVU, BABA MTAKATIFU FRANSISCO ATOA UJUMBE WA...

Mtawa wa Kanisa Katoliki Parokia ya Chang'ombe jijini Dar es Salaam, Dafrosa Clement akiwapaka majivu waumini wa Kikristo wa kanisa hilo leo  ikiwa ni ishara ya kuanza safari ya kiroho ya mfungo na...

View Article

ORODHA KAMILI YA WAKUU WA WILAYA WAPYA NA WAZAMANI HII HAPA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWAKILISHI WA JIMBO LA MAGOMENI ZANZIBAR SALMIN AWADHI SALMIN AFARIKI DUNIA

Mwakilishi wa jimbo la Magomeni, Salmin Awadhi Salmin (pichani) amefariki dunia ghafla mchana huu akiwa mkutanoni katika ofisi kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Kisiwandui Zanzibar.Salmin Awadh ambaye pia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

FIRST NATIONAL BANK YAZINDUA MIKOPO YA NYUMBA

Meneja Mauzo wa FNB Tanzania Emmanuel Mongella akiongea na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa huduma ya mikopo ya malipo kwa miaka ishirini iliyozinduliwa na benki hiyo jana jijini Dar es...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AIRTEL YAMKABITHI MKAZI WA KYELA, EDOM MWANSASU GARI LAKE

Kamanda mkuu wa polisi wa Mkoa wa Mbeya Bwana Hemed Msangi (wa pili kulia)  akimkabithi mshindi wa gari aina ya Toyota IST bwana Edom Dickson Mwansasu  mkazi wa Kyela Mbeya baada ya kuibuka moja kati...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MPYA: TANGAZO LA NAFASI ZA MASOMO KUTOKA CHUO CHA ELIMU YA BIASHARA (CBE)...

BOFYA HAPA KU DOWNLOAD FOMU SASA

View Article


NINI WANAFUNZI WAFANYE BAADA YA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

YANGA YAIUWA PRISONS 3-0 MJINI MBEYA KWA SILAHA ZILE ZILE

Timu ya Yanga leo imewapaa kileleni mwa ligi baada ya kuwabanjua Prison ya Mbeya katika uwanja wake wa nyumbani wa Sokine kwa mabao 2-1.Mabao ya yanga yalifungwa na wajuzi wale wale walioibanjua katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUTOKA MAKTABA: UNAMKUMBUKA IJP OMARY MAHITA

Kutoka Maktaba leo ni Mkuu wa Jeshi la Polisi Mstaafu IJP, Omar I Mahita aliyeshika wadhifa huo wa kuliongoza Jeshi la Polisi kwa miaka 10 kuanzia tarehe 4/5/1996 – 2/3/2006 alipomuachia kijiti Said...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAWILI WAPOTEZA MAISHA 45 WAJERUHIWA AJALI YA BASI LA KIDIA HUKO DODOMA HII LEO.

Mnamo tarehe 19/02/2015 majira ya saa 13:15hrs huko eneo la Vikonje Kata ya Mtumba Barabara ya Dodoma – Morogoro, Magari mawili yamegongana uso kwa uso na kusababisha vifo vya watu wawili na majeruhi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUTANO WA NNE WA WADAU WA PSPF 2015 WAMALIZIKA LEO MJINI DODOMA

Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Posta, Sabasaba Moshingi, akitoa mada, kuhusu benki hiyo inavyoweza kuwasaidia wanachama wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, kutokana na ushikiano wa kibiashara baina ya taasisi...

View Article


TUME YA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA YALAANI MAUAJI YA MTOTO YOHANA BAHATI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

COASTAL UNION WAIFUATA NDANDA MTWARA

NA MWANDISHI WETU,TANGA.TIMU ya Coastal Union ya Tanga imeondoka mkoani hapa leo asubuhi kuelekea mkoani  Mtwara kwa ajili ya mechi yao ya Ligi kuu Tanzania Bara dhidi ya Ndanda SC itakayochezwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANESCO YAZUNGUMZIA MABOROSHO YA MIRADI YA MIUNOMBINU YA EMEME NCHINI

WAZIRI pia Mkuu wa Kazi wa Ubalozi huo katika Ubalozi wa Japan hapa Nchini, Kazuyoshi Matsunaga akifurahia jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Mhandisi Felchesm Mramba (kulia) wakati wa mkutano na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUTANO WA PSPF WAMALIZIKA MJINI DODOMA

Mkurugenzi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, (Kulia), akipiokea mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 10 kutoka kwa Mkurugenzi wa Masoko na Maendeleo ya Biashara wa Benki ya Posta...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Push Observer yazindua teknolojia ya kisasa ya ukusanyaji wa Taarifa...

 Mshauri mkuu wa mradi wa NewsRadar, Romana Gersuni kutoka Ujerumani akielezea jinsi teknolojia hiyo mpya na ya kisasa ya ukusanyaji taarifa mbalimbali ya Push Observer inavyofanyakazi zake. Mkuu wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSANII WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA,MEZ B AFARIKI DUNIA LEO

Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka kundi la ‘Chamber Squad’, Moses Bushagama ‘Mez B’, amefariki dunia leo asubuhi huko Mkoani Dodoma baada ya kusumbuliwa na Homa ya mapafu kwa muda mrefu.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LOWASSA ASHIRIKI MAZIKO YA MWAKILISHI JIMBO LA MAGOMENI ZANZIBAR

Waziri mkuu wa zamani na mbunge wa Monduli, Edward Ngoyae Lowassa  akimwaga udogo katika mazishi ya mwakilishi wa jimbo la Magomeni Zanzibar ambaye pia alikuwa mnadhimu na katibu wa wakilishi wa Chama...

View Article
Browsing all 10590 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>