Quantcast
Channel: Father Kidevu
Viewing all articles
Browse latest Browse all 10598

BAADA YA KUIPANDISHA MWADUI FC JAMHURI KIWELO 'JULIO' ATIMKIA COAST UNION

$
0
0
 Kocha Msaidizi wa Coastal Union,Jamhuri Kiwelu "Julio"kulia akisisitiza jambo mazoezini jana mara baada ya kuwasilia mkoani Tanga kuifundisha timu hiyo kushoto ni Kocha Mkuu James Nandwa ,Mjumbe wa Kamati ya Utendaji Coastal Union,Albert Peter,Katibu Mkuu Coastal  Union,Kassim El Siagi na Meneja wa Coastal Union Akida Machai.
Kocha Msaidizi wa Coastal Union ,Jamhuri Kiwelu "Julio"akizungumza na viongozi wa Coastal Union mara baada ya kuwasili mazoezini jana.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 10598

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>