HENRY MDIMU: WANAO UNGA MKONO VITA DHIDI YA MAUAJI YA ALBINO MKONO JUU
"Ni kweli mimi ni Albino, nimejikubali na nimeishi maisha yangu yote bila kujali nilivyo. Sijawahi kutumia hali yangu kupata kitu kwa huruma, nimeyapigania maisha yangu na nimepiga hatua.Leo hii...
View ArticleRAIS KIKWETE AWA MWENYEKITI MPYA WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI
Rais Jakaya Kikwete (kushoto) akipokea bendera ya Afrika Mashariki (EAC) kutoka kwa Rais wa Kenya,Uhuru Kenyatta ikiwa ni ishara ya kumkabidhi Uenyekiti wa EAC kwenye mkutano wa kawaida wa 16 wa...
View ArticleBONGO FLAVA WAMKUMBUKA MEZ B KWENYE BONANZA LA PSPF
Msanii wa muziki wa kizazi kipya "Bongo Flava, Shilole na wacheza show wake, wakisimama kwa dakika moja kumkumbuka msanii mwenzao wa Bongo Flava, Mez B, mzaliwa wa Dodoma, wakati wa bonanza...
View ArticleSIDO IRINGA YAWAKOPESHA WAJASIRIAMALI WADOGO ZAIDI YA SH MILIONI 229.9
Na Fredy Mgunda,IringaSHIRIKA la kuhudumia viwanda vidogo (SIDO), mkoani Iringa limetoa mikopo yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 229.9 kwa wajasiriamali wa mkoa huo, katika kipindi cha July...
View ArticleAFRICAN SPORTS, MWADUI FC KUCHEZA FAINALI CHAMAZI
Fainali ya kumsaka Bingwa wa Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara (FDL), inatarajiwa kufanyika kesho kwenye Uwanja wa Azam Complex Chamazi na utazikutanisha timu mbili za African Sports ya Tanga na...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASHIRIKI SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA SIKU YA KUZALIWA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Kamishna Mkuu wa Skauti Tanzania, Abdulkarim Shah (kulia) na Rais wa Skauti Tanzania, Dkt. Shukuru Kawambwa (kulia kwa...
View ArticleANGELA KAIRUKI AKIZINDUA MIKOPO YA NYUMBA YA MIAKA 20 BENIKI YA FIRST...
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi, Mhe. Angela Kairuki akizindua mikopo a nyumba ya miaka 20 ya beniki ya FNB jijini Dar es salaam mwishoni mwa wiki. Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Bidhaa na...
View ArticleSAMWEL SITTA AKUTANA NA WANADMV AFAFANUA VIFUNGU VYA KATIBA ILIYOPENDEKEZWA
Waziri wa Uchukuzi, Samwel Sitta akiongea na mwenyeji wake jambo Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Liberata Mulamula.************ Waziri wa Uchukuzi, Samwel Sitta amewasili nchini Marekani siku ya...
View ArticleWANAFUNZI WA SHULE ZA MSINGI WILAYA YA MKURANGA NA KIBAHA KUPATA HUDUMA ZA...
Afisa Mkazi wa taasisi isiyo ya Kiserikali ya Brien Holden Vision Institute Eden Mahayo (Pwani.kushoto)akimkabidhi msaada wa sanduku la vifaa vya kupimia macho Kaimu Mkurugenzi wa manispaa ya...
View ArticleRAIS KIKWETE AMKABIDHI H.H. THE AGA KHAN HATI YA CHUO KIKUU CHA AGA KHAN...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Kiongozi wa madhehebu ya Ismailia duniani Mtukufu Aga Khana hati ya Chuo Kikuu cha Aga Khan kilichopo Dar es salaam leo February 23, 2015 Ikulu jijini Dar es...
View ArticleWANAHABARI WAWAFARIJI YATIMA ,JIJINI ARUSHA
Waandishi wa Habari wa Arusha wakitoa Zawadi zao za "Valentine's day" kwa watoto wa kituo cha Huruma Children's Trust Kwa Morombo, Jijini Arusha, kama ishara ya Upendo na Kuwajali watoto yatima katika...
View ArticleCCM SERENGETI WAMTAKA LOWASSA KUTANGA NIA YA KUGOMBEA URAIS
Mbunge wa Monduli mkoani Arusha na Waziri Mkuu mstaafu, Edward Ngoyae Lowasa akiagana na mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM kutoka Serengeti, Patrick Chandi Marwa na Mwenyekiti wa CCM Serengeti Vicent...
View ArticleKAMATI KUU YA CCM KUKUTANA DAR ES SALAAM FEBRUARI 28,2015
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
View ArticleYAMOTO BAND YAFANYA KWELI NDANI YA ROYAL REGENCY UK LONDON
Vijana wa Yamoto Band jumamosi iliyopita Walipiga Bonge moja la Show huko UK London katika Ukumbi wa Royal Regency na kuhudhuliwa na watu kibao wanaoishi huko, Hizi ni picha za matukio katika Show...
View ArticleRAIS KIKWETE APOKEA MSAADA WA VITABU VYA MASOMO YA SAYANSI KUTOKA MAREKANI
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe Paul Makonda baada ya kuwasili katika Shule ya Sekondari ya Mtakuja huko Kunduchi jijini Dar e salaam leo tayari kwa kukagua...
View ArticleBAADA YA KUIPANDISHA MWADUI FC JAMHURI KIWELO 'JULIO' ATIMKIA COAST UNION
Kocha Msaidizi wa Coastal Union,Jamhuri Kiwelu "Julio"kulia akisisitiza jambo mazoezini jana mara baada ya kuwasilia mkoani Tanga kuifundisha timu hiyo kushoto ni Kocha Mkuu James Nandwa ,Mjumbe wa...
View Article