Moto mkubwa ukiwaka baada ya Ndege Vita ya Jeshi la wananchi Tanzania (JWTZ) kuanguka katika uwanja wa jeshi Mwanza baada ya kupata hitilafu.
Rubani wa ndgevita hiyo Meja Peter Lyamunda alipoona ndege yake inawaka moto alifanikiwa kujirusha nje ya ndege hiyo kwa kutumia vifaa maalum na kufanikiwa kuokoa maisha yake ingawa amepata majeraha katika mguu wakati wa kujiokoa.
Ndege hiyo kabla ya kuruka.
Maofisa wa JWTZ wakiwa eneo la ajali hiyo.
Mabaki ya ndege hiyo baada ya moto kuzimwa. Rubani wa Ndege hiyo