ATUHUMU POLISI KUMVUNJA MIKONO
MKAZI wa Loksale wilaya ya Monduli, Samwel Petro Shani(47) amelalamikia hatua ya kuvunjwa mikono yake miwili kwa kipigo cha askari polisi katika kituo cha Leskale kwa madai ya kushindwa kulipa deni ya...
View ArticleSHULE ZA MSINGI MKOANI SINGIDA KUPOKEA VITABU 200
Miss Singida na Miss Kanda ya Kati 2014/15 ,Doris Mollel akisikiliza jambo kutoka kwa Afisa Mipango wa Children’s Book Project for Tanzania,Ramadhani Ali wakati akipokea vitabu kutoka Children’s Book...
View ArticleZIARA YA WAZIRI MKUU PINDA MBEYA MJINI NA MBEYA VIJIJINI
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiweka jiwe la Msingi la zahanati ya Kimondo , Mbeya Vijijini akiwa katika ziara ya mkoa wa Mbeya, Februari 25, 2015. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mjini Dr. Norman...
View ArticleTamthilia ya "A Boys Mission" yahitaji Milioni 800 ili ikamilike
Mwenyekiti Mtendaji wa kampuni ya Forward Formidable Enterprises (FFE) inayoandaa tamthilia mpya na ya kisasa ya “A boys mission” Johnson Lujwangana akifafanua jambo kuhusiana na tamthilia hiyo...
View ArticleCHID BENZ ALIPA FAINI 900,000/=, AACHIWA HURU NA MAHAKAMA
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu leo imemwachia mwanamuziki Rashid Makwilo 'Chid Benz' baada ya kulipa faini ya sh. 900,000 kufuatia kukamatwa akiwa na madawa ya kulevya. Chid Benz alikamatwa mwaka jana...
View ArticleMANISPAA YA TEMEKE YA MWAGA KINYESI ALICHO HIFADHI MWALIMU WA KIBASILA...
Ama kweli ukistaajabu ya musa hakika utayaona ya firauni...na kuishi kwingi ni kuona mengi...hali kadhalika wahenga wanasema Tembea uyaone...Misemo hiyo mitatu inaweza kujidhihirisha kwa namna tofauti...
View ArticlePATO LA TAIFA LAONGEZEKA, LAFIKIA SHILINGI TRILIONI 21.2.
Mkurugenzi wa Takwimu za Uchumi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Bw. Morrice Oyuke (Kulia)akitoa taarifa ya Pato la Taifa kwa kipindi cha robo tatu ya mwaka 2014 leo jiji Dar es salaam. Pato hilo kwa...
View ArticleMKAZI WA DODOMA JELA MAISHA KWA KUNAJISNI MTOTO
Tarehe 24/02/2015 katika Mahakama ya Wilaya ya Mpwapwa Mkoa wa Dodoma, mtu mmoja anayefahamika kwa jina la YUSUPH CHATAMBALA, umri miaka 45, kabila Mchaga, Mkulima na mkazi wa Kijiji cha MAKUTUPA Kata...
View ArticleNIC WAKABIDHI ZAWADI ZA WASHINDI MASHINDANO YA LUGALO CHALLENGE CUP 2015
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Shirika la Bima la Taifa NIC Bi. Mwanaidi Shemweta akikabidhi zawadi kwa Japhet Masai Kapteni wa mchezo wa Gofu katika viwanja vya gofu vya TPDF Lugalo tayari kwa...
View ArticleWANANCHI WA MKOA WA NJOMBE NI MFANO WA KUIGWA KATIKA ZOEZI LA BVR
Kazi ya kuandikisha wananchi katika Daftari la Kudumu la Wapigakura kupitia mfumo wa Biometrick Voters Registration (BVR), ambao huhusisha uchukuaji wa alama za vidole na picha, jana iliingia siku ya...
View ArticleRAIS KIKWETE NA MAKAMU WAKE WAAGA MWILI WA MAMA WA DK HOSEA JIJINI DAR LEO
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitoa heshima zao za mwisho kwa Marehemu Esther Gigwa Hosea, Mama Mzazi wa Mkurugenzi Nkuu wa TAKUKURU, Dkt Edward Hosea huko Msaki jijini Dar es...
View ArticleBLOGGERS KUKUTANA JIJINI DAR KATIKA PATI YA KISTORIA
Mwenyekiti wa Tanzania Bloggers Network na mmiliki wa Blog ya The Habari.com Joachim Mushi (katikati) akizungumza wakati wa mkutano na waandishi. Kutoka kushoto ni Mkala Fundikira,Shafia Mpanja wa...
View ArticleNDEGE VITA YA JWTZ YAPATA AJALI NA KUWAKA MOTO, RUBANI AJIOKOA KWA KURUKA
Moto mkubwa ukiwaka baada ya Ndege Vita ya Jeshi la wananchi Tanzania (JWTZ) kuanguka katika uwanja wa jeshi Mwanza baada ya kupata hitilafu. Rubani wa ndgevita hiyo Meja Peter Lyamunda alipoona...
View ArticleMAGUFULI AFANYA UKAGUZI WA KIVUKO CHA MV DAR ES SALAAM
Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli akiwaita wakazi wa jiji la Dar es Salaam katika eneo la Ferry kwa ajili ya safari ya kwenda Bagamoyo kwa kutumia kivuko cha MV Dar es Salaam.Kivuko cha MV Dar...
View ArticleMBUNGE WA MONDULI EDWARD LOWASSA AFANYA ZIARA JIMBONI
Mbunge wa Jimbo la Mondukli na Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Ngoyae Lowassa akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Mbashi na Seleli wilayani Monduli mkoani Arusha hii leo. Lowassa yupo jimboni kuzungumza...
View ArticleCAPT JOHN DAMIANI KOMBA AMEDFARIKI DUNIA
Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM ambaye oia ni kiongozi wa Kundi la TOT,Capt.John Damian Komba amefatiki dunia hii leo katika...
View ArticleHAFLA YA TANZANIA BLOGGERS NETWORK YAACHA GUMZO JIJINI DAR
Sehemu ya Wamiliki wa Blogs mbali mbali hapa nchini wakiwa kwenye picha ya pamoja na Mgeni Rasmi katika hafla maalum ya mwaka kwa Tanzania Bloggers Network,ambaye ni Katibu Mkuu wa Baraza la Habari...
View Article