Quantcast
Channel: Father Kidevu
Viewing all articles
Browse latest Browse all 10590

RAIS KIKWETE, VIONGOZI MBALIMBALI WA CHAMA NA SERIKALI WAIFARIJI FAMILIA YA CAPT JOHN KOMBA

$
0
0
 Rais Jakaya Kikwete akimsalimia mjane wa aliyekuwa Mbunge wa Mbinga magharibi Kampeni John Komba, Salome Mwakangale.
 Waziri Mkuu mstaafu Mhe Sumaye akimpa pole mjane wa marehemu Kapteni John Komba, Mwalimu Salome Mwakangale.
 Rais Jakaya Mrisho kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo alipokwenda yeye Mama Salma Kikwete kutoa pole na kuifariji familia ya Mbunge wa Mbinga Magharibi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Marehemu Kepteni John Komba aliyefariki dunia jana nyumbani kwa marehemu Mbezi kwa Komba jijini Dar es salaam leo March 1, 2015
 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo walipokwenda  yeye na Rais Kikwete  kutoa pole na kuifariji familia ya Mbunge wa Mbinga Magharibi.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa  Nape Nnauye akisaini kitabu cha maombelezo kwenye msiba wa Kapteni John Komba.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Anna Makinda akisaini kitabu cha maombelezo ya msiba wa Mbunge wa Mbinga Magharibi Kapteni John Komba.
 Rais Jakaya Mrisho kikwete na mkewe Mama Salma kikwete wakiwafariji wasanii wa Tanzania One Theatre kufuatia kifo cha kiongozi wao,  Mbunge wa Mbinga Magharibi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Marehemu Kepteni John Komba aliyefariki dunia jana nyumbani kwa marehemu Mbezi kwa Komba jijini Dar es salaam leo March 1, 2015.

 Wasanii wa TOT wakilia kwa uchungu msibani

Viewing all articles
Browse latest Browse all 10590

Trending Articles

<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>