YAMOTO BAND LIVE IN LONDON
Vijana wa Yamoto Band siku ya 21 February 2015 waliweka Historia katika jiji la London wakiwa ni watanzania wa kwanza kufanya Live show kwenye ukumbi wa Royal Regency na kuhudhuliwa na mamia ya wakaazi...
View ArticleUHURU FM 95.7 FM WAFANYA BONGE LA PATI KUUKARIBISHA MWAKA MPYA
Wafanyakazi wa Uhuru FM, Redio ya wananchi wakiongozwa na Dj Fast Edie (kushoto) wakishow love wakati wa tafrija yao ya kuukaribisha mwaka mpya iliyofanyika Februari 27, 2015 katika ukumbi wa Tukuyu...
View ArticleRAIS KIKWETE, VIONGOZI MBALIMBALI WA CHAMA NA SERIKALI WAIFARIJI FAMILIA YA...
Rais Jakaya Kikwete akimsalimia mjane wa aliyekuwa Mbunge wa Mbinga magharibi Kampeni John Komba, Salome Mwakangale. Waziri Mkuu mstaafu Mhe Sumaye akimpa pole mjane wa marehemu Kapteni John Komba,...
View ArticleMTANZANIA FABIOLA WILLIUM ATWAA DHAHABU MBIO ZA KILIMANJARO MARATHON HII LEO
Bingwa wa mbio ndefu za kilomita 42 za Kilimanjaro Full Marathon, Fabiola Willium akimaliza mbio hizo katika mashindano ya mbio za Kilimanjaro Marathon zilizofanyika Moshi leo.Mshindi wa mbio ndefu za...
View ArticleMICHUZI PRODUCTION YAREKODI KWA WELEDI WA HALI YA JUU MNUSO WA TANZANIA...
Ankal akiwa na MD wa Michuzi Media Group (kulia kwake) pamoja na kikosi kazi cha Team Michuzi Production chini ya Production Manager Barbra Kilugira (wa tatu kushoto) ambayo ilipata heshima ya kurekodi...
View ArticleHAPPY BIRTHDAY BLOGGER OTHMAN MICHUZI
Napenda Kuchukua Fursa hii Kumshukuru Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehma na Mwenye Kurehemu kwa kunijaalia Uhai na afya njema hadi kufikia siku hii ya leo,ambapo ninayo furaha kubwa sana kwa kuongeza namba...
View ArticleRAIS KIKWETE AONGOZA MAELFU KUMUAGA MAREHEMU CAPT JOHN KOMBA HII LEO
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Kapteni John Komba mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam...
View ArticleMAELFU WAMUAGA CAPT JOHN KOMBA VIWANJA VYA KARIMJEE DAR ES SALAAM LEO.
Jeneza lililobeba mwili wa marehemu Kapteni John Komba likiwa limebebwa kuelekea kwenye jukwaa maalum kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam. Familia ya Marehemu Kapteni John Komba ikiwa...
View ArticleNHIF YAWATAKA WAJASILIAMALI SINGIDA KUJIUNGA NA KIKOA
Kaimu Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya mkoani Singida Bw.Salum Adam.Kaimu meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya mkoani Singida Bw.Salum Adam akizungumza na Viongozi wa vyama mbalimbali vya...
View ArticleNYALANDU AWAAGA WAFANYABIASHARA WANAOENDA KUSHIRIKI MAONYESHO YA ITB, BERLIN...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mh. Lazaro Nyalandu akitoa nasaha za kuwaaga wafanyabiashara wa Tanzania wanaoenda Berlin, Ujerumani kushiriki maonyesho makubwa Duniani ya biashara maarufu kama ITB...
View ArticleWATATU WAUWAWA KWA IMANI ZA KISHIRIKINA MKOANI DODOMA
Watu watatu wameuawa Wilayani Kongwa Mkoani Dodoma katika matukio mawili tofauti yanayohusisha imani za kishirikina.Tukio la kwanza limetokea tarehe 01/03/2015 majira ya saa 01:00hrs katika kitongoji...
View ArticleMAONYESHO YA SIKU YA WANAWAKE YA MKOA WA MOROGORO YAINGIA DOSARI BAADA YA...
Mkurugenzi wa manispaa ya Morogoro, Bi. Theresia Muhongo akisikiliza maelezo kutoka kwa Haji Sajilo ambaye ni Kiongozi msimamizi wa Mipango wa NGO,s ya MOYODEI wakati alipotembelea kwenye mabanda...
View ArticleREX ENERGY KUPELEKA UMEME JUA KWA KAYA MILIONI MOJA NA LAKI TANO NCHINI
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Rex Energy Francis Khibhisa akizungumza wakati wa uzinduzi wa Teknolojia mpya ya umeme jua ya gharama nafuu ijulikanayo kama 3G+Solar Homes System (SHS). Katikati ni...
View ArticlePAPAA KING MOLEL WA TRIPLE A LTD AIKABIDHI KATA YA KIA PIKIPIKI
Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya Triple A LTD na Mfanyabiashara wa Jijini Arusha, Papaa King Mollel (kulia) akimkabidhi pikipiki kwa aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Novatus Makunga...
View ArticleMAGUFULI AFUNGUA BARABARA YA MWANGA-KIKWENI-LOMWE MKOANI KILIMANJARO
Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli katikati akiweka jiwe na msingi kuashiria kuanza kwa ujenzi wa barabara ya Mwanga-Kikweni-Vuchama-Usangi-Lomwe yenye urefu wa kilomita 40. Kulia kwake ni...
View ArticleKIGOGONOLA AMBEBA KICHECHE
Ndege maarufu kama Woodpecker anaswa katika taswira ya MartinLe-Mei katika hifadhi ya mji Hornchurch Essex akiwa amembeba mmnyama mdogo jamii ya kicheche na kuruka nae ikiwa ni baada ya mnyama huyo...
View ArticleUZINDUZI NA UTAMBULISHO WA SHIRIKA LA SAVE VULNERABLE FOUNDATION WAFANYIKA...
Katibu Mkuu wa Shirika la Kusaidia watu wenye ulemavu na mahitaji maalumu la Save Vulnerable Foundation, Leontine Rwechungura (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es...
View Article