
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa pole wanafamilia wa MzeeZakaria Limbe ambao wamepoteza wototo wane katika mafa ya mvua kubwa yenye upepo na mawe iliyonyesha katika eneo la Mwakata Machi 3 usiku. Alikwenda katika maeneo yaliyoathirika leo kuwapa pole wananchi.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipa pole Shoma Petro ambaye ni mmoja wa majeruhi wa maafa yaliyosababishwa na mvua kubwa yenye upepo na mawe iliyonyesha kwenye eneo la Mwakata wilayani Kahama Machi 3, 2015 usiku. Mheshimiwa Pinda alikwenda kwenye hospitali a wilaya ya Kahama kuwapa pole majeruhi waliolazwa hospitalini hapo

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimpa pole Mzee Donald Lubunda ambaye amepoteza watoto wane katika maafa yaliyosababishwa na mvua kubwa zilizonyesha katika eneo la Mwakata wilayani Kahama Machi 3 usiku. Mheshimiwa Pinda alikwenda kuwapa pole waathirka leo
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongozana na Waziri wa Nchi Ofisi yaWaziri Mkuu, Jenista Mhagama (kulia) na Mkuu wa Mkoa wa ShinyangaDr Rufunga kukagua maeneo yalyoathiriwa na mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali na mawe katika eneo Mwakata wilayani Kahama usiku Machi 3, 2015. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu