VODACOM WATOA WITO KUCHANGISHA FEDHA KWA WAHANGA WA MAFURIKO
Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania imeeleza kuguswa na tukio la mvua kubwa iliyonyesha wilayani Kahama mkoani Shinyanga ambayo imesababisha vifo vya watu 42 na wengine mamia kujeruhiwa na...
View ArticleTanesco na Helios Tower Tanzania wafanya warsha ya siku moja juu ya...
Eranus Thompson, Mkuu wa uendeshaji wa Kanda ya Dar Es Salaam na Pwani kutoka Kampuni ya Helios Tower Tanzania akizungumza jinsi Helios Tower wanavyoweza kusambaza umeme unaozalishwa na Tanesco...
View ArticleMLEKANI SPORTS NEWS NI UWANJA MWINGINE WA KUPATA HABARI MBALIMBALI ZA MICHEZO...
Kikosi cha Kano-Pillars ya Nigeria.ABUJA, NigeriaWACHEZAJI watano wa timu ya Kano Pillars wamejeruhiwa kwa risasi na watu wenye silaha katika shambulio lililofanywa na kundi la watu wakati wakisarifi...
View ArticleWANAKIJIJI CHA OLOLOSOKWAN WAIPA AIRTEL HEKO/SHUKRANI
Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Sunil Colaso (kushoto), akizungumza na viongozi wa Kata ya Ololosokwan, wilaya ya Ngorongoro (kutoka kulia), Diwani wa kata hiyo, Yannick Ndoinyo, Mwenyekiti wa...
View ArticleMSANII WA NYIMBO ZA INJILI, MKOANI IRINGA REHEMA CHAWE AACHIA ALBAMU YAKE YA...
Muimbaji wa Nyimbo za Injili Rehema Chawe******MSANII wa nyimbo za Injili, nyanda za juu kusini Rehema Chawe ambaye ni Mwanachama wa chama cha Muziki wa Injili Tanzania (CHAMUITA), anatarajia kuzindua...
View ArticlePINDA ATEMBELEA WAATHIRIKA WA MAAFA YA MVUA SHINYANGA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa pole wanafamilia wa MzeeZakaria Limbe ambao wamepoteza wototo wane katika mafa ya mvua kubwa yenye upepo na mawe iliyonyesha katika eneo la Mwakata Machi 3 usiku....
View ArticleCHOKI, FRESH JUMBE NA NUAMWELA KUPIGA BONGE LA SHOO JAPAN
Mwanamuziki nguli wa siku nyingi, Mtanzania anayefanya shughuli zake za kimuziki nchini Japan, Fresh Jumbe, anatarajia kufanya onyesho jukwaa moja na mwanamuzi kiongozi wa bendi ya Extra Bongo, Ally...
View ArticleEY Tanzania team donated US$ 3,500 and TZS 712,000 to fight brutality...
On 2nd March 2015 staff and Partners of EY Tanzania hosted Ms. Maria Stanford a representative from the society of people with albinism in Tanzania at EY offices in Oysterbay. The representative,...
View ArticleSERIKALI YA JAPAN YAIPATIA MSAADA WA DOLA LAKI 1.4 HALMASHAURI YA WILAYA YA...
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiongozana na mwenyeji wake ambaye ni Kaimu Balozi wa Japan nchini Tanzania,Mh. Kazuyoshi Matsunaga wakati alipowasili nyumbani kwa...
View ArticleRAIS KIKWETE AZINDUA RASMI AZAM TV JIJINI DAR ES SALAAM LEO
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Naibu Mkurugenzi wa Azam TV Bw. Dunstan Tido Mhando wakati wa sherehe za uzinduzi rasmi wa studio mpya za stesheni hiyo iliyopo Tabata Relini jijini Dar es salaam...
View ArticleKIPINDI CHA MASKANI YA TIMES FM WAADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE KWA KUTOA MSAADA...
Mkurugenzi Mtendaji wa Times Radio Fm, Mr. Rehure Nyaulawa (kushoto) akimkabidhi msaada wa mashuka Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mwananyamala Dk, Sophinias Ngonyani (kulia) mara baada ya Timu nzima ya...
View ArticleWANAWAKE WA MCD WASHEREHEKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI KWA AINA YAKE.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa (MSD), Bw. Cosmas Mwaifani akifungua sherehe za Siku ya Akina Mama Duniani zilizofanyika.Bw. Mwaifani akimkaribisha mgeni rasmi wa sherehe hizo, Bi.Helen Mwakipunda ambaye ni...
View ArticleMahakama ya Afrika kuanza kikao chake Jumatatu Arusha
Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu (AfCHPR) inaanza kikao chake cha kawaida cha 36 cha mwaka, kuanzia Machi 9 hadi Marchi 27,mwaka huu,katika makao yake makuu mjini Arusha, Tanzania.Majaji...
View ArticleWAFANYAKAZI WA RADIO 5 WANOLEWA NA BBC MEDIA ACTION
Wafanyakazi wa kampuni ya Tan Communication Media inayo miliki kituo cha Radio 5 chenye makao yake makuu jijini Arusha wakiwa katika picha ya pamoja jana katika mafunzo ya kuwajengea uwezo wa...
View ArticleSIMBA HII TAMUUUUUUU!!! YAIBANJIA YANGA 1-0.
Na Father Kidevu BlogGoli pekee la Mganda Emmanuel Arnold Okwi aliloklipachika kimiani kunako dakika ya 56 ya mchezo kati ya mahasuimu wawili Simba na Yanga leo limeiwezeza timu yake ya Simba kuibuka...
View ArticleWANAWAKE WA MAMLAKA YA CHAKULA NA DAWA (TFDA) WASHIRIKI KILELE CHA...
Wanawake wa TFDA walikuwa ni sehemu ya waliojitokeza katika kushiriki na kufanikisha Maadhimisho hayo yaliyofanyika katika ngazi ya mkoa (Dar Es Salaam) ambapo Mgeni Rasmi alikuwa ni Mke wa Rais wa...
View ArticleBALOZI WA HARAKATI ZA "IMETOSHA!" HENRY MDIMU APELEKA UJUMBE WAKE UWANJA WA...
Na Henry MdimuTangu asubuhi leo nilikuwa busy na awareness za uwanja wa Taifa katika mechi ya watani wa Jadi Yanga na Simba (picha ya pili). Ila jioni hii nilipoangalia simu yangu nikakuta watu...
View ArticleLANTANA HOTEL KIOTA KIPYA CHA MARAHA NA USINGIZI MWANANA JIJINI DAR ES SALAAM
KARIBU / WELCOME To Lantana Hotel , “the best place to be” a newly open hotel with world class standard located at Sinza Area in Kinondoni Municipality, 100m off Shekilango Road near SinzakwaRemmy...
View ArticleKINANA, NAPE WAUNGURUMA JIMBO LA MTERA, MKOANI DODOMA
Mbunge wa Jimbo la Mtera Ndugu Livingstone Lusinde akielezea maendeleo ya ujenzi wa Shule ya msingi Lowasa kwa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana katika kijiji cha Muungano wilaya ya Chamwino...
View Article