Quantcast
Channel: Father Kidevu
Viewing all articles
Browse latest Browse all 10780

KEVERA AJITOA KWA VIJANA KATIKA SEKTA YA MICHEZO

$
0
0
Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM)na Kamanda wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Scolastica Kevera akikabidhi jezi kwa Nahodha wa Timu ya Twiga,Abuu Nido baada timu hiyo kuzishinda timu katika mechi zilizopigwa katika uwanja wa twiga Tabata Kiswani Jijini Dar es Salaam.Na Mwandishi Wetu,Globu ya Jamii
Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM)na Kamanda wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi  (CCM),Scolastica Kevera amesema kuwa yeye ni  mwanamichezo ndio maana amejitoa kusaidia vijana katika sekta ya michezo kwa kutambua michezo ni ajira.

Akizungumza hivi karibani,Scolastica amesema ataendelea kujitoa kwa vijana katika michezo ili waweze kufika mbali na kuweza kusaidia watu wengine.

Scolastica amesema vijana wakijituma katika michezo wanaweza kupata mafanikio na kuweza kusaidia nchi kwa uchumi kuptia michezo.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 10780


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>