Quantcast
Channel: Father Kidevu
Browsing all 10759 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MABASI YAPATA AJALI TANGA NA MOROGORO NA KUUWA WATU KADHAA HII LEO

Basi la Ngorika lenye namba za Usajili T770 BKW lililokuwa kitoka jijini Dar es Salaam kwenda Arusha  na lile la Kampuni ya RATCO T 274 DCP Tanga kwenda Dar es Salaam yamegongana uso kwa huso na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UTT-PID YASHIRIKI MKUTANO MKUU WA 30 WA ALAT JIJINI DAR ES SALAAM

Naibu waziri wa TAMISEMI,Khasim Majaliwa,akipata maelezo na kusaini kitabu cha wageni kutoka kwa Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Tasisi ya Miradi na Maendeleo ya Miundombinu chini ya Wizara ya Fedha, Bw,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KEVERA AJITOA KWA VIJANA KATIKA SEKTA YA MICHEZO

Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM)na Kamanda wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Scolastica Kevera akikabidhi jezi kwa Nahodha wa Timu ya Twiga,Abuu Nido baada timu hiyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAZISHI YA MPIGAPICHA BERNARD RWEBANGIRA

Jeneza lenye Mwili wa Marehemu Bernard Rwebangira likiwa tayari kwa safari ya kwenda kwenye nyumba yake ya milele kwenye Makaburi ya Kawe,Jijini Dar es salaam leo.Marehemu Bernard Rwebangira aliwahi...

View Article

Rais Kikwete atoa mhadhara katika Woodrow Wilson Centre jijini New York,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MGOMO WA MADEVA JIJINI DAR ES SALAAM HII LEO

 Umati wa watu uliofurika kituo kikuu cha Mabasi yaendayo Mikoani Ubungo (UBT) ukiwa umekusanyika hii leo kufuatia mgomo wa madereva wa mabasi na magari mengine ya abiria jijini Dar es Salaam leo....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAPPY BIRTHDAY BLOGGER CATHBERT ANGELO KAJUNA

Napenda kumshukuru Mungu kwa kunifikisha leo Aprili 10 siku yangu ya kuzaliwa... Hakika Mungu ni mwema kwa kila jambo. Pia napenda kuishukukuru familia yangu, ndugu jamaa na marafiki kwa kuwa pamoja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LOWASSA AIFARIJI FAMILIA YA DK MAKUNDI WA MONDULI

Mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa  na mkewe mama Regina Lowassa(pembeni)akimpa pole mjane wa marehemu Dr John Makundi kwenye kanisa la KKKT Monduli katika Misa ya kumuaga.Marehemu Dr Makundi ambaye...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

timu ya barcelona wawasili zenj

Rais wa Heshima wa Timu ya Barcelona Kocha Johan Cruyff, akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar alipofika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume.Kikosi cha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIONGOZI WA JUU WA ACT WAPATA MAPOKEZI MAKUBWA SONGEA

 Vingozi wa ACT-Wazalendo wakiangalia picha za makumbusho  ya vita vya majimaji. Pikipiki ambazo ziliongoza mapokezi hayo zikiwa katika msafara. Viongozi wa Juu wa chama cha ACT wakiimba na kucheza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ASASI YA VIJANA WA TANZANIA NA ASIA (TAYL) YAZINDULIWA JIJINI DAR

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited, Francis Nanai akizungumza wakati akizindua asasi ya kuendeleza vijana katika masuala ya uongozi ijulikanayo kwa jina la Tanzania-...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UZINDUZI WA ALBUM YA 'TUKITEMBEA NURUNI' YA KWAYA YA UPENDO USHARIKA WA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANNE WAFA KATIKA AJALI YA BASI NA GARI DOGO DODOMA

Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma. SACP David MisimeWATU wanne wamepoteza maisha jana Aprili 10 mwaka huu badaa ya basi walilokuwa wakisafiria mali ya Nyahunge  lenye namba za usajili 506 CSX Youtong...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

POLISI IRINGA WATUMIA MABOMU YA MACHOZI KUTAWANYA WANANCHI WALIOFUNGA...

Askari  wa FFU wakiwa katika msako  wa  kuwasaka  waliohusika na  vurugu hizo eneo la Ipogolo  mjini IringaPolisi wakie;ekea emeo la tukio Baadhi ya  watuhumiwa wa  vurugu hizo  wakipakiwa katika gari...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UN. TAASISI IMARA KATIKA UTATUZI WA MIGOGORO

Kutoka kushoto ni Reginald Munisi, Mwenyekiti, United Nations Association of Tazania, Mr. Alvaro Rodriguez, Mratibu Mkazi, Umoja wa Mataifa Tanzania, Balozi Dr. Agustine Mahiga, Balozi Mstaafu wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANGAZO LA MSIBA WA MAMA FLORA KAAYA

Familia ya Marehemu Freddrick Nicholaus Kaaya wa Mikocheni  Dar es Salaam, wanasikitika kutangaza kifo cha mama yao mpendwa Flora Kaaya kilichotokea 11/04/2015 katika Hospitali ya TMJ.Mwili wa Marehemu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

IMETOSHA yaendeleza mkakati wake kimataifa kusafisha jina la nchi

Mkakati wa kutokomeza unyanyapaa na mauaji ya watu wenye ualbino nchini, uitwao IMETOSHA, jana ulianza rasmi kujitokeza kimataifa baada ya kushiriki katika pambano la kimataifa la kirafiki kati ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI (MADINI) KITWANGA ATEMBELEA MGODI WA DHAHABU BULYANHULU

Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles Kitwanga (aliyesimama) akitoa hotuba yake mwanzoni mwa ziara yake ya kutembelea mgodi wa dhahabu wa Bulyanhulu ulioko wilaya ya Msalala, mkoani Shinyanga,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTANDAO WA KUTETEA HAKI ZA BINADAMU WAHAMASISHA AMANI KABLA YA UCHAGUZI MKUU

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Husna Mwilima aliyemwakilisha Mkuu wa Mkoa Arusha, Daudi Ntibenda,akifungua mkutano wa kujadili masuala ya ulinzi na usalama kuelekea uchaguzi mkuu, ulioandaliwa na mtandao wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AJALI YA BASI NA FUSO MOROGORO YAUA 18 NA KUJERUHI WENGINE 11 LEO

Na Father Kidevu Blog, Morogoro.WATU 18 wamepoteza maisha papo hapo kwa kuteketea na moto huku wengine  11  wakijeruhiwa vibaya  kwa moto kufuatia magari mawili kugongana ambayo ni Basi Scania mali ya...

View Article
Browsing all 10759 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>