Quantcast
Channel: Father Kidevu
Viewing all articles
Browse latest Browse all 10768

VIONGOZI WA JUU WA ACT WAPATA MAPOKEZI MAKUBWA SONGEA

$
0
0
 Vingozi wa ACT-Wazalendo wakiangalia picha za makumbusho  ya vita vya majimaji.
 
Pikipiki ambazo ziliongoza mapokezi hayo zikiwa katika msafara.
Viongozi wa Juu wa chama cha ACT wakiimba na kucheza jukwaani kwa furaha ya mapokezi makubwa waliyo yapata mkoani Songea.
Zitto Kabwe akiwa jukwaani akisalimia wana Songea.
Msanii wa Bongo Fleva, Afande Sele, Mbunge Mtarajwa wa  Jimbo la Morogoro Mjini, akiwahutubia wakazi wa mji wa Songea.
Mwenyekiti Anna Mngwira, baada ya Kuzindua ofisi za Mkoa  za chama cha ACT Mkoani Ruvuma.
**********

Viewing all articles
Browse latest Browse all 10768

Trending Articles