Quantcast
Channel: Father Kidevu
Viewing all articles
Browse latest Browse all 10788

RAIS KIKWETE AKAGUA UKUMBI WA MIKUTANO WA KIMATAIFA DODOMA (DICC) TAYARI KWA MKUTANO MKUU WA CCM

$
0
0
 Muonekano wa ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Dodoma (DICC) mali ya Chama cha Mapinduzi.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua ujenzi wa Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Dodoma (DICC) unaojengwa na Chama Cha Mapinduzi CCM kulia ni makamu mwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangula.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua ujenzi wa Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Dodoma (DICC) unaojengwa na Chama Cha Mapinduzi CC. 
 
 Muonekano wa ndani wa ukumbi mpya wa mikutano uliojengwa na CCM mjini Dodoma ambao uko katika hatua za mwisho kukamilika kabla ya kuanza kutumika.Ukumbi huu upo karibu na jengo la  Benki Kuu, njia ya kuelekea Chuo Kikuu cha Dodoma - UDOM.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na makandarasi wanaojenga ukumbi wa kimataifa wa Mikutano wa Dodoma leo

Viewing all articles
Browse latest Browse all 10788

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>