Quantcast
Channel: Father Kidevu
Browsing all 10758 articles
Browse latest View live

SOMA JARIDA LA NISHATI NA MADINI TOLEO LA 67

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHADEMA WATOA UTARATIBU WA UTEUZI WA WAGOMBEA NDANI YA CHAMA KATIKA UCHAGUZI...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKALI WA BLUZI BB KING AFARIKI DUNIA

 BB King akiangalia maashabiki wake baada ya kutumbuiza katika moja ya maonesho yake.Rais wa Marekani Barack Obama akimba moja ya nyimbo za BB King katika moja ya tajasha lake alilohudhuria huko...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TARS YAJIFUA KUIKABILI SWAZILAND KOMBE LA COSAFA

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imeendelea na mazoezi katika uwanja wa Olympia Park kujiandaa na mchezo wa fungua dimba la michuano ya COSAFA dhidi ya timu ya Taifa ya Swaziland.Kocha mkuu wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

FAINALI YA KOMBE LA NG'OMBE ARUSHA NI ZAMZAM V/S NYOTA

Mfadhili wa michuano ya kombe la Ng'ombe  ambaye pia mkurugenzi wa kampuni ya  East Link Tanzania Ltd,Kim Fute wapili kutoka kushoto akibadilishana mawazo na baadhi ya vijana waliofika kushuhudia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAPINDUZI YASHINDIKANA RAIS PIERRE NKURUNZINZA AREJEA IKULU

 Rais wa Burundi, Pierre  Nkurunzinza.Rais Pierre Nkurunziza amewasili katika makao ya Rais mjini Bujumbura kupitia msafara mkubwa wa magari .Alikaribishwa na umati mkubwa wa wanachama wa chama chake...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHETTA,DULLY SYKES KUNOGESHA TAMASHA LA USIKU WA MARAFIKI WA LOWASA JIJINI...

Wasanii wawili wa kizazi kipya nchini Nurdin Billal maarufu kama Shetta na Abdulwaheed Sykes” Dully Sykes” kesho jumamosi  wanataraji kunogesha katika onyesho la kundi la marafiki wa waziri mkuu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS NYUSU WA MSUMBUJI KULIHUTUBIA BUNGE LA TANZANIA

Rais wa Msumbiji Mhe.Filipe Jacinto Nyusi (pichani) anatarajia kuwasili nchini Tanzania Mei 17 mwaka huu kwa ziara ya kikazi ya siku tatu ambapo pamoja na mambo mengine anatarajia kulihutubia Bunge la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AKAGUA UKUMBI WA MIKUTANO WA KIMATAIFA DODOMA (DICC) TAYARI KWA...

 Muonekano wa ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Dodoma (DICC) mali ya Chama cha Mapinduzi. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua ujenzi wa Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Dodoma (DICC) unaojengwa na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LOWASSA ATIKISA ARUSHA,ACHANGISHA ZAIDI YA SH,MIL 200

Waziri mkuu mstaafu na mbunge wa jimbo la Monduli mkoani Arusha,Edward Lowasa akiwapungia mikono wafuasi wake waliofika katika uwanja wa msikiti mkuu katika hafla ya harambee ya ujenzi wa msikiti wa...

View Article

MAWASILIANO YA BARABARA YA TABATA BIMA NA KIMANGA HATARINI KUKATIKA

Hii ni sehemu ya barabara ya Tabata Kimanga ambayo imeharibiwa vibaya katika eneo la Tabata Chama jirani na Shule ya Msingi Darajani. Endapo mamlaka husika hazitafanya ukarabati wa haraka wa eneo hilo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WASTAAFU WA NSSF MKOA WA TEMEKE WAAGWA RASMI

Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crescentius Magori akizungumza wakati wa hafla ya kuwaaga wastaafu wa shirika hilo kutoka ofisi ya mkoa wa Temeke.Meneja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

EVANDER HOLYFIELD AMTWANGA MITT ROMNEY WA REPUBLICAN

Mgombea usra wa chama cha Republican huko Marekani, Mitt Romney na Bingwa mara tano wa uzito wa juu wa Ngumi duniani, Evander Holyfield wamezipiga katika pambano la hisani lililofanyika katika Salt...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAPOKEZI YA RAIS NYUSI WA MSUMBIJI NCHINI TANZANIA

 Rais Nyusi anamshukuru Elizabeth kwa maua Rais Nyusi akitambulishwa kwa mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Mhe. Saidi Mwambungu Rais Nyusi akitambulishwa kwa wasaidizi wa Rais Rais Kikwete na Mgeni wake...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UHAKIKI WA KAZI ZA VIJANA WALIYOPEWA MASHINE NA NHC WAFANYIKA MIKOANI

Kikundi cha vijana 40 kiitwacho Wajenzi Isoso Wilayani Kishapu kikiendelea na ufyatuaji matofali ya kufungamana wakati kilipotembelewa na Meneja wa NHC wa Huduma kwa Jamii, Bw. Muungano Saguya kwa nia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ENEO HILI LA BARABARA LINAHITAJI JICHO LA MAMLAKA HUSIKA

Hofu ya kukatika mawasiliano kati ya Tabata Bima na Tabata Kimanga jijini Dar es Salaam kwa njia ya barabara ni makubwa endapo ukarabati wa haraka hautafanyika katika eneo la Tabata Chama jirani na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI BERNALD MEMBE KWA MGENI RASMI TAMASHA LA QASWIDA MEI 25

Jumanne Ali Ligopora Mkurugenzi wa Taasisi ya Ulamaa Qaswida Promotion Centre akizungumza na waandishi wa habari kwenye hoteli ya Traveltine Magomeni jijini Dar es salaam wakati akizungumzia mashindano...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

FLAVIANA MATATA AONGOZA MAMIA YA WANAMITINDO WA BONGO KUJIUNGA NA MFUKO WA...

 Balozi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Flaviana Matata, akifurahia jambo, wakati akizungumza kwenye semina ya siku moja iliyoan daliwa na Mfuko huo kwa kushirikiana naye, maalum kwa wanamitindo na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UNIVERSAL BODY FITNESS YAFUNGULIWA RASMI JENGO LA SHAMO TOWERS,MBEZI BEACH

Balozi wa Heshima wa Djibhout nchini Tanzania Balozi Said Amin Shamo akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa kituo cha mazoezi Universal Body Fitness kilichopo ndani ya jengo la Shamo Tower,Mbezi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MAONYESHO YA BIASHARA NCHINI CHINA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Maonesho ya Biashara ya China, 'Expo Central China 2015', ulioanza leo Mei 19, 2015...

View Article
Browsing all 10758 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>