Quantcast
Channel: Father Kidevu
Viewing all articles
Browse latest Browse all 10798

SITTA ATEMBELEA MAONESHO YA WIKI YA MAZINGIRA TANGA

$
0
0
 Waziri wa Uchukuzi Mhe. Samwel  Sitta (Mb) akisalimiana na Mkurugenzi wa Idara ya Uratibu wa Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu,  Brig. Jen,  Mbazi Msuya  alipokua akiwasili kwenye viwanja vya  Tangamano mjini Tanga  wakati wa maonyesho ya Wiki ya Mazingira Duniani Juni 3, 2015
Mtaalamu kutoka Idara ya Uratibu wa Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Ali Mwatima akitoa maelezo kwa wanafunzi wa shule ya Darajani mjini tanga walipo tembelea banda la Ofisi hiyo tarehe 3 Juni, 2015 katika maonyesho ya wiki ya Mazingira yanayoendelea katika viwanja vya Tangamano Tanga.
 Mkurugenzi wa  wa Idara ya Uratibu wa Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu,  Brig. Jen,  Mbazi Msuya  Akitoa maelezo ya  moja ya DVD  ya majanga mbalimbali ya maafa kwa mgeni rasmi  Waziri wa Uchukuzi Mhe. Samwel Sitta alipo tembelea banda la Ofisi ya waziri Mkuu Idara ya Uratibu wa maafa kwenye viwanja vya Tangamano mjini Tanga Juni 3, 2015 

Viewing all articles
Browse latest Browse all 10798


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>