SITTA ATEMBELEA MAONESHO YA WIKI YA MAZINGIRA TANGA
Waziri wa Uchukuzi Mhe. Samwel Sitta (Mb) akisalimiana na Mkurugenzi wa Idara ya Uratibu wa Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, Brig. Jen, Mbazi Msuya alipokua akiwasili kwenye viwanja vya Tangamano...
View ArticleMBUNGE JOSHUA NASSAR ASHIRIKI UJENZI WA CHANZO CHA MAJI KIJIJI CHA KARANGAI...
Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki ,Joshua Nassar akishirikiana na wananchi katika kijiji cha Karangai kuweka mawe katika chanzo cha maji kwa ajili ya umwagiliaji.Mbunge Nassar akisaidia katika hatua...
View ArticleLOWASSA ACHANGIAWA FEDHA ZA KUCHUKUA FOMU NA WANA CCM MKOA WA TABORA
Mzee wa CCM wilaya ya Urambo mkoani Tabora, Yusuf Bundala Kasubi, (kulia), akimkabidhi Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, zaidi ya shilingi milioni moja, zilizochangwa na...
View ArticleDK BILALI ACHUKUA FOMU ZA KUOMBA KUGOMBEA URAIS URAIS
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akionyesha mkoba wenye Fomu za kugombea Urais kwa tiketi ya CCM, baada ya kukabidhiwa mkoba huo na Katibu wa NEC Idara ya...
View ArticleDK. SLAA AUNGURUMA MPANDA MJINI, KATAVI
Katibu Mkuu wa Chadema Taifa, Dr. Wilibrod Slaa, akiwasalimia wanachama, wapenzi, wafuasi na mashabiki wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), baada ya kuwasili katika ofisi za wilaya za...
View ArticleNYAMLANI MGENI RASMI MASHINDANO YA ROBO FAINALI YAKWANZA YA MTEMVU CUP DAR ES...
Aliyekuwa Makamu wakwanza wa shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Athumani Nyamlan (mwenye tai) akikagua timu ya mpira ya Mtoni na Azimio wakati wa mashindano ya robo fainali ya kwanza ya...
View Article104TH SESSION OF THE INTERNATIONAL LABOUR CONFERENCE IN GENEVA
From left to right: Ambassador Modest J. Mero (Governments) from Tanzania, Ms Ronnie Goldberg (Employers) from the United States, Guy Ryder (ILO Director-General), Ms Ieva Jaunzeme (President of the...
View ArticleLOWASSA ACHUKUA FOMU CCM DODOMA WADHAMINI KIBAO WAJITOKEZA MKOANI DODOMA
Waziri Mkuu wa zamani na mbunge wa Monduli, ambaye tyayari ametangaza nia ya kuwania urais kjupitia CCM, akionyesha mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa pamoja na nyaraka nyingine, baada ya kukabidhiwa...
View ArticleMSAFARA WA KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA WAWASILI WILAYANI KAHAMA USIKU HUU...
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Abdulrahman Kinana akipokelewa na kamati ya Ulinzi na Usalama jana usiku ndani ya wilaya Kahama mkoani Shinyanga tayari kwa mapumziko,ambapo kesho...
View ArticleTAMASHA LA JAMBO FASHION AFFAIR KUFANYIKA KESHO ARUSHA
TAMASHA la Jambo Fashion Affair linatarajia kufanyika kesho Jijini hapa na kushirikisha wabunifu wa ndani pamoja na wasanii kutoka Jijini Arusha na mikoa mbalimbali.Akizungumzia maandalizi ya tamasha...
View ArticleWatanzania wavichangamkia viwanja vya Bayport Vikuruti
Hawa ni miongoni mwa Watanzania waliohamasika kutembelea katika viwanja vilivyokuwa kwenye mradi wa Vikuruti kutoka Taasisi ya Kifedha ya Bayport Financial Services, wilayani Kibaha, mkoani Pwani,...
View ArticleLOWASSA AZOA SAINI ZA WADHAMINI JIJINI MWANZA
Waziri Mkuu wa Mstaafu na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa akiwa na viongozi wa Chama cha Mapinduzi mkoani Mwanza leo alipowasili kutafuta wadhamini wa kusaini fomu zake za kutaka ateule na CCM...
View ArticleNYALANDU ATANGAZA NIA KUGOMBEA URAIS
Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akizungumza na wananchi mkoani Singida baada ya kutangaza nia ya kugombea nafasi ya urais kwenye Uwanja wa Namfua leo. (Picha na Loveness Bernard)Umati wa...
View ArticleWANANCHI WA MKOA WA LINDI WAJITOKEZA KWA WINGI USIKU WA SHAMRA SHAMRA ZA...
Shamra shamra za kutangaza nia ya kuwania urais zaendelea kunoga mjini Lindi ambapo leo June 6 kuamkia June 7, 2015 ambapo Mheshimiwa Bernard Membe atakuwa anatangaza nia ya Kugombea Urais wa Jamhuri...
View ArticleLOWASSA ATUA ZANZIBAR AZOA SAINI
Waziri Mkuu wa zamaninaMbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowasa, (kulia), akipokewa na Mwenyekiti wa CCM, Mkoa wa Mjini Unguja, Borafia Silima Juma, wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Mkoa wa...
View ArticleMEMBE ATANGAZA NIA YA KUWANIA URAIS MKOANI LINDI LEO
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akizungumza na wana CCM na wakazi wa Lindi katika Viwanja vya Ofisi ya CCM Mkoa leo, wakati akitangaza nia...
View ArticleNAIBU WAZIRI WA MAILIASILI NA UTALII,MOHAMED MGIMWA AFUNGUA MAONESHO YA...
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mohamed Mgimwa akitia saini katika kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Moshi Club kwa ajili ya kufungua rasmi maonesho ya kimatifa ya Kitalii...
View ArticleTAASISI YA SITTI TANZANIA FAOUNDATION YATOA MSAADA KWA MTOTO MWENYE UVIMBE...
Mwenyekiti wa Taasisi ya Sitti Tanzania Foundation, Sitti Mtemvu (kushoto), akimkabidhi msaada wa sh. laki mbili, Sarha Magamba, jijini Dar es Salaam jana, kwa ajili ya kusaidia matibabu ya mtoto,...
View ArticleUMOJA WA MAKANDARI WAZALENDO(ACCT)KUSHIRIKIANA NA CHUO CHA UFUNDI ARUSHA...
Mwenyekiti wa taasisi ya ACCT,Milton Nyerere(kushoto) na Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha(ATC)Dk Richard Masika wakisaini hati za makubaliano ambayo itatoa fursa kwa mafundi wengi kunolewa na kuweza...
View ArticleAMOTEL GETS LICENCE
Professor Robert Mabele- The Board Chairman, Mkulima African Telecom Company Limited, MTC-AMOTEL receives the certificate from Director General of TCRA, Prof. John Nkoma (centre) in Dar es Salaam on...
View Article