Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, akiwasili katika Ofisi ya CCM Wilaya Geita, kwa ajili ya kudhaminiwa na wanchama wa chama hicho kugombea Urais mkoani Geita jana ambapo wanchm zaidi ya 3000 wamejitokeza kumdhamini
Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, akizungumza na wanachama na wananchi nje ya Ofisi ya CCM wilayani Geita baada ya kukabidhiwa fomu za majina ya wanachama 3000 waliojitokeza kumdhamini kugombea Urais mkoani Geita jana.
Katibu wa CCM Wilaya ya Geita,Kilian Robert, akimkabidhi Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa fomu zenye majina ya wanachama 3000 waliomdhamini kugombea urais mkoani Geita jana.