Quantcast
Channel: Father Kidevu
Browsing all 10583 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JANUARY MAKAMBA AFUNIKA KWA HOTUBA SAFI WAKATI WA KUTANGAZA NIA

MBUNGE wa Bumbuki CCM na Naibu Waziri wa Mawasiliano,Sayansi na Teknolojia January Makamba ametangaza nia kwa mara nyingine ya kuwania urais akiahidi serikali yake kuunda baraza la mawaziri wasiozidi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LOWASSA, NYALANDU WAKUTANA ZANZIBAR WAKATI WA KUTAFUTA SAINI ZA WADHAMINI

Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, (kushoto), akisalimiana na Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, walipokutana uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Zanzibar, Juni 7...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

STEPHEN WASIRA AZURU MKOA WA KILIMANJARO NA ARUSHA KUOMBA KUDHAMINIWA

wa kwanza kushoto ni Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen Wasira; akiwa ndani ya ofisi za CCm mkoa wa kilimanjaro wakati alipoenda kuomba kuthaminiwa na wananchi  ili kuweza kupata nafasi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JAPAN HANDS OVER MICHAKAINI 'A' PRIMARY SCHOOL BUILDING

The front view of the newly constructed Classroom block.The rear view of the newly constructed Classroom block.Ambassador of Japan H.E. Mr. Masaharu Yoshida posing with from left Chaiman of Parent...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KARIBU MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI

Mwezi Mtukufu wa Ramadhani ni Mwezi ambao inapatikana ibada ya Funga ambayo ni Moja katika Nguzo Tano za Uislamu.Kwa uwezo wake M/Mungu kwa Mujibu wa Muandamo(Muonekano) wa Mwezi , Tarehe 19/6/2015 ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMISHNA WA SENSA HAJAT AMINA MRISHO SAID ATANGAZA NIA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO...

KAMISHNA wa Sensa ya Watu na Makazi 2012, Hajat Amina Mrisho Said ametangaza nia ya kugombea Ubunge katika jimbo la Kiteto mkoani Manyara katika uchaguzi mkuu utakao fanyika baade mwaka huu.Akizungumza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

GOLA KUWAONDOA WATOTO WA MITAANI JIJINI ARUSHA

Afisa ustawi wa jamii na Maendeleo ya jamii jijini Arusha  Mwantumu Dossiakitembelea mradi wa shamba la mahindi unaoendeshwa na taasisi ya GolaFoundation jana katika kituo cha Kufikia watoto wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

FINCA MICROFINANCE BANK YAZINDULIWA RASMI JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Ofisa Mtendaji Mkuu (C.E.O) wa Benki hiyo, Ed Greenwood (katikati), akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa benki hiyo. Kushoto ni Zulpha Semboja na Kulia ni Rahmathi Damac warembo wa benki hiyo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAMCO YASISITIZA MSHIKAMAO WA KIJAMII

Mwenyekiti wa Tanzanian Muslim Community Ndugu Ali Muhammed Shafi (Picha zote na Abou Shatry)  Baadhi ya waumini wa  Tanzanian Muslim Community wakiwa katika mkusanyiko wa siku ya familia, ilioandaliwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI YA AVIC TOWN YAANZA KUUZA NYUMBA ZAKE ILIYOZIJENGA MRADI WA KIBADA...

 Ofisa Masoko wa Kampuni Avi Town, Kidani Muhombolage (kulia) akiwaongoza wateja walipotembelea mradi wa nyumba za aina saba zilizojengwa na kampuni hiyo zilizopo Kijiji cha Somangira Kigamboni Dar es...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MFUMUKO WA BEI WAONGEZEKA NCHINI

Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Bw. Ephraimu Kwesigabo akitoa taarifa ya kuongezeka kidogo kwa mfumuko wa bei nchini kwa mwezi Mei 2015 leo jijini Dar es...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANA CCM 3000 WAMDHAMINI LOWASSA GEITA

 Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, akiwasili katika Ofisi ya CCM Wilaya Geita, kwa ajili ya kudhaminiwa na wanchama wa chama hicho kugombea Urais mkoani Geita jana ambapo wanchm zaidi ya 3000...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UNGANA NA MWANDISHI SIMON KIVAMWO KUPAMBANA NA SARATANI YA UTUMBO

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI BERNARD MEMBE AJINYAKULIA WADHAMINI WA KUTOSHA MKOA WA LINDI NA MTWARA

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kulia) akishangiliwa na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Mkoa wa Lindi, mara baada ya kufika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MJUMITA WAZINDUA WIMBO WA MKUHUMI ULIOIMBWA NA MPOTO, AFANDE SELE NA DAYNA

WATANZANIA wametakiwa kuwatumia wasanii katika kufikisha ujumbe wa masuala muhimu ya kijamii kwakuwa wasanii hao wanamvuto mkubwa kwa wananchi.Hayo yalisema jijini Dar es Salaam leo wakati wa uzinduzi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI MAHIGA ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA URAIS

Aliyekuwa Balozi wa Kudumu wa Umoja wa Mataifa, Dk. Augustine Mahiga akizungumza wakati akitangaza nia ya kugombea nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo katika ukumbi wa Idara ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LOWASSA NI SHIDA! MAELFU WAJITOKEZA KILA AENDAKO

Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, akipungia mkono maelfu ya wana CCM na wananchi wa Musoma, alipowasili uwanja wa ndege wa Musoma Juni 9, 2015, kuendelea na kampeni yakle...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HISPANIA YASAIDIA BILIONI 3.1/- KUKABILI UMASKINI TANZANIA

Balozi wa Spain nchini, Mh. Luis Cuesta Civis (kulia) na Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Alvaro Rodriguez wakisaini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAHAKAMA YA AFRIKA IAMURU BURKINA FASO KUSIKILIZA UPYA KESI YA MAUAJI YA...

Miaka karibu 16 sasa baada ya kuuawa kwa mwandishi wa habari za uchunguzi wa nchini Burkina Faso, Norbert Zongo, hatimaye haki imetendeka juu yake baada ya hukumu ya kihistoria iliyotolewa na Mahakama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Niambie Live Show EP 4

Omby Nyongole, Henry Kente na Salma MoshiKaribu kwenye kipindi hiki cha NIAMBIE LIVEKipindi kinachozungumzia mambo mbalimbali yaliyochukua nafasi za juu kwenye mitandao ya kijamii. Pia kupata Tip ya...

View Article
Browsing all 10583 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>