Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Bw.Matina Nkurlu akimpigia mmoja wa washindi miongoni ya watano waliojishindia shilingi milioni mbili kila mmoja kwenye droo kubwa ya Promosheni ya Cheka Nao,inayowezesha wateja kuongea na mitandao yote bila mipaka kwa bei nafuu. Ili kujiunga mteja anatakiwa kupiga *149*01#.wanaoshuhudia ni Meneja wa Idara ya Malipo ya Kabla wa kampuni hiyo, Yvonne Maruma (kati kati)pamoja na Ofisa wa bodi ya michezo ya kubahatisha Tanzania Bi.Chiku Saleh.
HAWA NDIYO WASHINDI WA PROMOSHENI YA CHEKA NAO - 21/06/2013 | |||||||
WAMEJINYAKULIA KITITA CHA MILIONI TSH 2,000,000 KILA MMOJA | |||||||
JINA | UMRI | ANAKOISHI | KAZI YAKE | ||||
Majija Amos Kidara | 24 | Shinyanga - Kahama | Peasant | ||||
Mkude Idd | 30 | Msamvu - Morogoro | Peasant | ||||
Isaya Edward Sengo | 35 | Mbeya | Petty Trader | ||||
Alexander Vinson | 33 | Mbinga - Ruvuma | Peasant | ||||
Derick Charles Cosmas | 25 | Karagwe - Bukoba | Peasant | ||||