YALIYOJIRI KATI YA TIMU YA BENKI YA NMB v/s WABUNGE MJINI DODOMA MWISHONI MWA...
Naibu waziri wa habari Vijana,Utamaduni na Michezo Mhe.Amos Makalla (Jezi ya njano na Bluu) akipigwa chenga na Afisa mkuu wa fedha NMB Waziri Waziri katika mtanange huo uliokuwa wa kukata na...
View ArticleKONYAGI YAGAWA KWENYE MABAA VIFAA 130 VYA KUHIFADHIA TAKA DAR
Meneja Mauzo na USAMBAZAJI WA kiwanda cha Konyagi cha Tanzania Distilleries Limited (TDL), Mwesige Mchuruza (kushoto), akimkabidhi Meneja wa Baa ya Calabash iliyoko Mwenge, JUMA Kihoma, kifaa cha...
View ArticleHII NDIO DASLAM!!, BONGO!!, DIZIM!!
Baadhi ya watumiaji wa barabara wakijaribu kukwepa mashimo ya maji taka ya chooni yaliyotuama baada ya moja ya chemba ya maji hayo katika Mtaa wa Swahili Kariakoo kujaa na kumwaga maji barabarani huku...
View ArticleANKAL AISHUKURU HOSPITALI YA KILUTHERI YA HAYDOM KWA KUMHUDUMIA VYEMA MWANAE
Ankal akikesha kumuuguza mwanae Ally Hassan hospitalini hapoNachukua nafasi hii kutoa shukurani zangu za dhati kutoka katika kilindi cha moyo wangu kwa Hospitali ya Kilutheri ya Hydom iliyoko mkoani...
View ArticleTAMASHA LA RAHA ZA JANA NA LEO KURINDIMA JULAI 6 VIWANJA VYA POSTA
Tamasha la muziki wa dansi linalojumuisha bendi za zamani na za kisasa lijulikanalo kama raha za jana na leo ambapo jumla ya bendi sita zitapanda jukwaa moja kuonyeshana umwamba nani zaidi katika...
View ArticleMICHELLE JENG FOUNDATION LAUNCH
Michelle Jeng (right) With some of the guest at the Launch.Dr Mwele Malecela officiating michelle Jeng Foundation.Fashion Show during the LAunch of the Michelle Jeng Foundation. Guest Of honour Dr...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AWEKA JIWE LA MSINGI KWENYE ENEO MAALUM LA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwahutubia wakazi wa jijini Tanga, wakati alipofika eneo la Pongwe jijini Tanga leo Juni 21, 2013 kwa ajili ya kuweka...
View ArticleWateja watano wajizolea Milioni 2 kila mmoja za Cheka Nao
Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Bw.Matina Nkurlu akimpigia mmoja wa washindi miongoni ya watano waliojishindia shilingi milioni mbili kila mmoja kwenye droo kubwa ya Promosheni ya Cheka...
View ArticleSOPHIA, PHILLIOUS NA LINDA WANG'AA REDDS MISS KINONDONI TALENT 2013
Washindi wa Redds Miss Kinondoni Talent 2013 wakiwa katika sura za furaha mara baada ya kuwagalagaza wenzao na kujikuta wanapatikana wao Kutoka Kulia ni Sophia Yusuf, Phillious Lemi na Linda...
View ArticleMUTUNGI KUTOKA AFISA MUUGUZI MSAIDIZI HADI WAKILI
Wakili Froldius Mugisha Mutungi (wapili kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Wakili Emmanuel Tamila Makene (wapilikushoto) pamoja na Mkewe mama Mutungi na kijana kutoka Ofisi ya Kings Low Chember,...
View ArticleTimu nane kushiriki bonanza la Breake Point Jumapili
JUMLA ya timu nane zimethibitisha kushriki katika bonaza la soka klabu ya Break Point lililopangwa kufanyika Jumapili Juni 23 kwenye viwanja vya Survey (Chuo Kikuu cha Ardhi).Mkurugenzi wa Breake Point...
View ArticleSHINDANO LA BIBI BOMBA LAZINDULIWA RASMI
Mmoja wa washiriki wa shindano la Bibi Bomba awamu ya pili Bi.Anna Nicholaus akikabidhiwa fulana yenye jina lake na mmoja wa Waratibu wa shindano hilo,AJ Jonathan,wakati wa utambulisho rasmi wa...
View ArticleSHY-ROSE AKUNWA NA MISWADA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI
Katibu wa Wabunge wa Tanzania Katika Bunge la Afrika Mashariki, Shy-Rose Bhanji akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusu miswada mbalimbali...
View ArticleZITTO AALIKWA KWENYE TAMASHA LA ASPEN IDEAS 2013
MBUNGE WA Kigoma Kaskazini, Ndugu Zitto Z. Kabwe amealikwa kuhudhuria tamasha la tisa la Aspen la mwaka huu huko Marekani. Tamasha hilo linawaleta pamoja watu mashuhuri kutoka nyanja mbalimbali...
View ArticleMichuano ya Airtel Rising Stars yaanza Rasmi -Makumbusho yaibamiza Sifa 3-1
Mchezaji chipukizi wa timu ya soka ya Sifa United ya Manzese AbuuMohamed (kushoto) akichuana na mchezaji wa Makumbusho United Shabani Idd wakati wa mechi ya ufunguzi wa mashindano ya vijana chini ya...
View ArticleTFF WALILIA MATHIAS KISSA WA COSMOPOLITAN
RAMBIRAMBI MSIBA WA MATHIAS KISSAShrikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha mchezaji wa zamani wa timu za Cosmopolitan na Taifa Stars, Mathias Kissa (84)...
View ArticleGrand Malt yakabidhi vifaa vya michezo kwa timu za baraza la wawakilishi...
Makamu wa pili wa Rais wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar Balozi Seif Ally Iddy akipokea vifaa mbalimbali vya michezo kwa timu za baraza la wawakilishi za mpira wa miguu na pete toka kwa Meneja...
View ArticleAzimo la Mazingira bora na salama kwa waandishi wa habari wakiwa kazini...
Mgeni rasmi katika uzinduzi wa Tamko la Mount Meru la kuwalinda waandishi wa habari wakiwa kazini Afrika Mashariki, Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika Bw. Francis Stolla akizungumza machache...
View ArticleJOHNNIE WALKER MENTORSHIP
Mabalozi wa kinywaji cha Johnnie Walker kutoka Kampuni ya Bia ya Serengeti wakionesha wageni waalikwa moja ya aina ya Johnnie Walker. Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Steve...
View ArticleMWANTUMU MAHIZA AAPISHWA KUWA SKAUTI MKUU WA CHAMA CHA SKAUTI TANZANIA IKULU...
Skauti Mkuu wa Chama cha Skauti Tanzania mteule Mhe. Mwantumu Mahiza akisubiri kuapishwa Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 23, 2013 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akijiandaa kuvishwa skafu na...
View Article