Quantcast
Channel: Father Kidevu
Viewing all articles
Browse latest Browse all 10759

MAVUNDE AVUNJA BARAZA LA MADIWANI MPWAPWA

$
0
0
 Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma, Adv. Anthony Mavunde akiongea wakati wa kuvunjua baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma  juzi. Pamoja nae ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mpwapwa, Mwajina Lipinga.
 Mavunde pia alitoa vyeti kwa madiwani wa baraza hilo. Wengine pichani ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa, Nyaulingo Bulamlete (wapili kulia) na Naibu Mwenyekiti.
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa, Nyaulingo Bulamlete

Copy and WIN : http://ow.ly/KNICZ
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa, Nyaulingo Bulamlete

Copy and WIN : http://ow.ly/KNICZ
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa, Nyaulingo Bulamlete

Copy and WIN : http://ow.ly/KNICZ
 Vyeti vilitolewa kwa madiwani wote wa Halmashauri hiyo.
 Madiwani wakifuatilia hotba ya kuvunja baraza hilo.

Viongozzi wa Halamashauri wakiwa katika picha ya pampoja na mgeni rasmi na madiwani wa Mpwapwa.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 10759

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>