IN LOVING MEMORY OF THE LATE DR KATALYEBA
The Late, Dr.Philbert O.Katalyeba Time speeds on, 5 years (9th July 2010-9th July 2015) have passed since death its gloom and shadow cast our home where all seemed bright, and took from us a shining...
View ArticleNAIBU KATIBUuw MKUU TAMISEMI ATEMBELEA BANDA LA MAONESHO NHC
Naibu Katibu mkuu Tamisemi ,Kagyabukama E.Kiliba akipata maelezo ya namna kituo cha huduma kwa wateja kinavyofanya kazi kutoka kwa Afisa wa kitengo cha Huduma kwa Wateja, Theresia Muhondo katika banda...
View ArticleBENKI YA DCB ILIVYOSHIRIKI MAONESHO YA BIASHARA YA KIMATAIFA SABASABA
Mhazini wa DCB Commercial, Samwel Dyamo (kulia) akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi mtendaji,kuhusu mambo mbalimbali ya huduma wanazotoa katika Viwanja vya maonesho.mwengine ni Meneja...
View ArticleMAVUNDE AVUNJA BARAZA LA MADIWANI MPWAPWA
Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma, Adv. Anthony Mavunde akiongea wakati wa kuvunjua baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma juzi. Pamoja nae ni Mkurugenzi wa...
View ArticleWAANDISHI WA HABARI WACHANGISHA MILIONI 31 KUSAIDIA WENZAO
Mwenyekiti wa Kampeni iliyolenga kupata fedha kwa ajili ya kuwasaidia wanahabari wanaougua magonjwa sugu yakiwepo ya saratani, (MEDIA CAR WASH FOR CANCER) , Benjamin Thompson akizungumza na waandishi...
View ArticleAIRTEL FURSA YATUA MWANZA
Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania Jackson Mmbando akiongea na vijana wa Mwanza wakati wa uzinduzi wa warsha maalum kwa vijana ya'AirtelFursa' kutoka Airtel Tanzania yenye lengo la kuwawezesha...
View ArticleRAIS JAKAYA KIKWETE AZINDUA UKUMBI MPYA WAMIKUTANO WA CCM, MJINI DODOMA LEO.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, akizungumza wakati wa uzinduzi wa Ukumbi mpya wa mikutano wa CCM wa Dodoma Convention Centre, uliopo mjini Dodoma, leo Julai 9, 2015 Rais...
View ArticleUKAWA WAFUTURI BAADA YA KIKAO CHA MKAKATI DAR ES SALAAM
Baadhi ya Wabunge wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kutoka kushoto, Naomi Kaihula (Viti Maalum CHADEMA), Salum Baruan (CUF- Lindi Mjini) na Mohamed Habib Mnyaa wakishiriki futari iliyoandaliwa...
View ArticleDIOMOND ALIPOMSINDIKIZA MO DEWJI KUWAAGA WAPIGA KURA WAKE WA SINGIDA
Mbunge wa Singida mjini, Mohamed Dewj 'MO' akihutubia mkutano wake wa hadhara mjini Singida wakati wa kuwaaga wapiga kura wake hao. Mkazi wa Singida mjini akimwomba Mbunge wake asiache ngazi kwa...
View ArticleWAZIRI WA KAZI ATEMBELEA BANDA LA NSSF KATIKA MAONYESHO YA SABASABA
Meneja Kiongozi Masoko na Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Eunice Chiume, akitoa maelezo kwa Waziri wa Kazi na Ajira,Gaudensia Kabaka, alipotembelea banda la NSSF wakati wa...
View ArticleRAIS JAKAYA KIKWETE ALIHUTUBIA BUNGE NA KULIVUNJA
Rais Kikwete akilihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati wa akilivunja rasmi Bunge hilo la 10 mjini Dodoma jana. Aidha Rais Kikwete alitangaza ukomo wa Bunge hilo kufikia Agosti 20...
View ArticleTANZIA
MWENYEKITI WA BODI YA WAKURUGENZI, MENEJIMENTI NA WAFANYAKAZI WOTE WA KAMPUNI YA UWEKEZAJI YA UTT (UTT-AMIS) WAMEPOKEA KWA HUZUNI MKUBWA HABARI YA KIFO CHA ALIYEKUWA MWENYEKITI MUASISI WA DHAMANA YA...
View ArticleKAMPUNI YA HUAWEI ILIVYOZINDUA SIMU YA P8
Mkurugenzi wa Masoko na bidhaa wa Huawei ukanda wa Afrika Mashariki na Kusini Jaco Van Zyl akielezea matumizi simu mpya ya Huwei P8 wakati wa hafla ya uzinduzi iliyofanyika katika klabu ya Country...
View ArticleBANK OF AFRICA YAFUTURISHA WATEJA WAKE
Mkurugenzi Mkuu wa Bank Of Africa Tanzania (BOA), Ammish Owusu Amoah akizungumza katika hafla ya kufuturisha iliyoandaliwa na benki hiyo kwa ajili ya wateja wake na kufanyika katika hoteli ya Serena...
View ArticleONESHO LA YOUNG SCIENTISTS TANZANIA (YST) KUFANYIKA AGOSTI 5-7 DIAMOND JUBILEE
Mkurugenzi wa Chama cha Wanasayansi vijana wa Tanzania, Dk.Kamugisha Gozibert akizungumza na waandishi wa habari(hawapo picha) kuhusu onesho la Young Scientists Tanzania (YST) kwa mwaka wa 2015 na...
View ArticleKIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM CHAANZA JIONI HII MJINI DODOMA KUSAKA TANO BORA...
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM, Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM (CC) kinachoendelea hivi sasa kwenye Ukumbi wa White House, Makao Makuu ya CCM, Mjini...
View Article