Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, akizungumza wakati wa uzinduzi wa Ukumbi mpya wa mikutano wa CCM wa Dodoma Convention Centre, uliopo mjini Dodoma, leo Julai 9, 2015
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, akibonyeza kitufye cha kengere kuashiria uzinduzi rasmi wa Ukumbi mpya wa mikutano wa CCM wa Dodoma Convention Centre, uliopo mjini Dodoma, leo Julai 9.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete, na Balozi wa China nchini Tanzania, kwa pamoja wakifunua kitambaa kuashiria kuzindua rasmi Ukumbi mpya wa mikutano wa CCM wa Dodoma Convention Centre, uliopo mjini Dodoma, wakati wa hafla ya uzinduzi iliyofanyika leo Julai 9, 2015

Rais jakaya Kikwete, akionyesha mfano wa ufunguo wa Ukumbi huo baada ya kukabidhiwa wakati wa hafla ya uzinduzi wa ukumbi huo leo, mjini Dodoma
Picha ya pamoja na baadhi ya Viongozi wa Chama na Serikali baada ya uzinduzi huo.
Rais Jakaya Kikwetena baadhi ya Viongozi, wakitembelea kukagua ukubi huo baada ya uzinduzi.
Picha ya pamoja baada ya kutembelea kukagua ukumbi huo.