Quantcast
Channel: Father Kidevu
Viewing all articles
Browse latest Browse all 10800

RAIS JAKAYA KIKWETE ALIHUTUBIA BUNGE NA KULIVUNJA

$
0
0


 Rais Kikwete akilihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati wa akilivunja rasmi Bunge hilo la 10 mjini Dodoma jana. Aidha Rais Kikwete alitangaza ukomo wa Bunge hilo kufikia Agosti 20 mwaka huu.
 Rais Kikwete akiendelea kuhutubia wabunge
 Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman na ujumbe wake pamoja na maafisa wa bunge wakiingia Bungeni tayari kwa hotuba ya mwisho ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete mjini Dodoma Alhamisi Julai 9, 2015
 Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali akiingia katika ukumbi wa Bunge.
 Spika Anne Makinda akimuongoza Rais Kikwete kuingia bungeni.
 Rais Kikwete akiingia bungeni huku akishangiliwa na wabunge.
 Sehemu ya ukumbi wa bunge wakati Rais Kikwete akiingia.
Waheshimiwa wabunge
 Sehemu ya wabunge.
 Wake wa viongozi, watoto wa Rais Kikwete na maafisa mbalimbali.
 Wabunge wakifuatilia hotuba.
 Wabunge wakifuatilia hotuba.Continue reading →

Viewing all articles
Browse latest Browse all 10800

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>