Quantcast
Channel: Father Kidevu
Viewing all articles
Browse latest Browse all 10616

MAGUFULI, MIGIRO NA BALOZI AMINA WAPETA TATU BORA YA CCM

$
0
0
WATANGAZA nia Dk John Pombe Magufuli,Dk Asha Rose Migiro na Balozi Amina Salum Ali wa Chama cha Mapinduzi CCM wamepeta kuingia hatua ya tatu bora na kuwatupa nje Bernard Membe na Januari Makamba. Watatu hao sasa wameingia katika kikaango cha mwisho cha Mkutano Mkuu ambapo watapigiwa kura na hatimaye kumpata kmoja ambae atapeoerusha bendera ya CCM katika uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu. Duru za kisiasa zinampa nafasi kubwa ya ushindi Daktari Magufuli kufuatia utendaji wake wa kazi na hasa usimamizi wa miradi mbalimbali katika wizara yake ya Ujenzi

Viewing all articles
Browse latest Browse all 10616

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>