MOSHI MWEUSI BADO WATANDA CCM DODOMA WAGOMBEA 5 GUMZO
Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Kikwete akiongoza kikao maalum cha kamati kuu ya CCM katika ukumbi wa White House mjini Dodoma leo. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti Zanzibar ambaye pia ni Rais wa SMZ...
View ArticleKUTOKA DODOMA NAPE ATHIBITISHA 5 BORA YA CCM, KUWA NI AMINA, MEMBE, MAGUFULI,...
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari asubuhi hii nje ya Ukumbi wa White House, Makao Makuu ya CCM Mjini Dodoma, akithibitisha taarifa iliyokuwa...
View ArticleKIKWETE AONGOZA KIKAO CHA NEC MJINI DODOMA LEO
Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Jakaya Kikwete akizungumza wakati wa kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) katika ukumbi wa Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma jana. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM...
View ArticleNEC YA CCM INAPIGA KURA SASA KUPATA TATU BORA. SAA TATU USIKU MKUTANO UNAKAA...
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari jioni hii juu ya kilichofanyika kwenye Mkutano wa Hamlashauri Kuu ya CCM (NEC), ambapo amesema kuwa sasa NEC...
View ArticleMAGUFULI, MIGIRO NA BALOZI AMINA WAPETA TATU BORA YA CCM
WATANGAZA nia Dk John Pombe Magufuli,Dk Asha Rose Migiro na Balozi Amina Salum Ali wa Chama cha Mapinduzi CCM wamepeta kuingia hatua ya tatu bora na kuwatupa nje Bernard Membe na Januari Makamba....
View ArticleJOGOO LIMEWIKA DODOMA, DK JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI NDIO MGOMBEA URAIS CCM 2015
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Dkt. John Pombe Magufuli, baada ya kutangazwa kuwa Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa...
View ArticleSAMIA SULUHU HASSAN NDIYE MGOMBEA MWENZA CCM
MWANAMAMA aliyepata kuwa Mwenyekiti mwenza wa Bunge maalum la Katiba na Waziri katika Ofisi ya Makamu wa Rasi Muungano, Samia Hassan Suluhu ndie mgombea mwenza wa Dk John Pombe Magufuli katika mbio za...
View ArticleMAJAMBAZI WAVAMIA KITUO CHA POLISI STAKISHARI UKONGA NA KUUA ASKARI 6
HABARI zilizotufikia hivi punde zinaarifu kua watu wanaodhaniwa kua ni majambazi yakiwa na silaha za moto yamevamia Kituo Kikuu cha Polisi Wilaya Stakishari Ukonga na kufanya shambulio na kuua askari...
View ArticleTUME YA MIPANGO YATEMBELEA MIRADI WA UMEME WA UPEPO SINGIDA
Meneja wa Mradi, Mhandisi. Pascal Malesa akiwaonesha timu ya ukaguzi eneo linalokusudiwa kwa ajili ya mradi wa umeme wa upepo nje kidogo ya mji wa Singida, mbele yake ni kiongozi wa timu hiyo...
View ArticleMAJAMBAZI YATIKISA KATIKATI YA JIJI LA DAR ES SALAAM LEO MCHANA 4 WATIWA MBARONI
Mmoja wa watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi akiwa mikononi mwa polisi baada ya kutiwa mbaroni Mnara wa Saa maeneo ya Stesheni Dar es Salaam leo mchana kwa madai ya kupora kiasi kikubwa cha fedha. Watu...
View ArticleTAMASHA LA NCHI ZA JAHAZI 2015 KUFANYIKA KOME KONGWE ZANZIBAR KUANZIA JULAI...
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Tamasha la Jahazi, Martin Mhando (kushoto), akizungumza leo jijini Dar es Salaam kuhusu tamasha hilo kubwa la jahazi kuhusu tamasha la nchi za jahazi litakalofanyika kuanzia...
View ArticleKUMEKUCHA MISS KILIMANJARO AMBASSADOR 2015
Shindano la Miss Kilimanjoro Ambassador 2015 limepamba moto kwa kuchukua sura mpya kwenye vyombo vya habari likiwa na mvuto wa aina yake.Warembo wanaowania taji hilo wako kambini kwa sasa wakinolewa...
View ArticleKipindi cha JUKWAA LANGU, Julai 13, 2015
Kipindi hiki ambacho kinakujia kila JUMATATU, kinajadili mambo mbalimbali na zaidi kuhusu UCHAGUZI MKUU WA TANZANIA 2015Katika kipindi hiki utasikia mahojiano yetu na watu mbalimbali akiwemo Katibu...
View Article