Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Gabriel Munasa (kulia) akipokea fomu ya kuomba ridhaa ya wana CCM Kinondoni kugombea Ubunge jimbo la Kawe katika uchaguzi wa Oktoba 25 mwaka huu. Anae mkabidhi fomu hiyo ni Katibu wa CCM Wilaya ya Kinondoni, Atuman Shesha.