GABRIEL MUNASA AOMBA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KAWE
Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Gabriel Munasa (kulia) akipokea fomu ya kuomba ridhaa ya wana CCM Kinondoni kugombea Ubunge jimbo la Kawe katika uchaguzi wa Oktoba 25 mwaka huu. Anae mkabidhi fomu...
View ArticleWAKAZI WA JIJI LA MWANZA WAJITOKEZA KUMLAKI KWA SHANGWE DKT MAGUFULI LEO.
Mgombea Uraisi CCM,Mh.Dkt John Pombe Magufuli alisalimiana na wafuasi wa chama hicho wakiwemo viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Mwanza,alipowasili katika uwanja wa ndege wa jiji hilo mapema leo Dkt...
View ArticleMTEMVU AREJESHA FOMU KUGOMBEA TEMEKE
Mgombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Temeke kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Abbas Mtemvu (wapili kulia), akirudisha Fomu katika Ofisi za Chama hicho kwa Katibu wa Umoja wa Vijana Wilaya ya Temeke Yona...
View ArticleMAHIGA ACHUKUA FOMU IRINGA MJINI
Katibu msaidizi wa CCM Iringa mjini akipokea fomu ya balozi Augustino Mahiga anayeomba kugombea ubunge jimbo la Iringa mjini leo Balozi Mahiga akirejesha fomu za ubunge jimbo la Iringa...
View ArticleTHE STARS BAND YAZINDULIWA RASMI SIKU YA EID MOSI
Bendi mpya ya muziki wa dansi ijulikanayo kama The Stars Band iliyo chini ya Aneth Kushaba imezinduliwa rasmi siku Jumamosi ya Julai 18, siku ya Idd-Mosi ndani ya kiota cha Mzalendo Pub, Kijitonyama...
View ArticleJAMAL RWAMBOW AGOMEA UBUNGE JIMBO LA RUFIJI
Mjumbe wa Baraza la Michezo la Tanzania Bara (BMT), Jamal Mandenda Rwambow (pichani) amerejesha fomu kuwania Ubunge wa Jimbo la Rufiji klupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Akizungumza jijini jana,...
View ArticleDKT JOHN POMBE MAGUFULI ATIKISA JIMBONI KWAKE ,WANANCHI WAIBUA SHANGWE KILA...
Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli akiwaaga Wananchi wa Chato waliojitokeza kwa wingi kumlaki,mara baada ya kumaliza kujitambulisha na kuwashukuru kwa kiasi kikubwa kwa...
View ArticleACACIA YATUMIA MILIONI 400 KUJENGA MAABARA SHINYANGA
Meneja Mkuu wa Mgodi wa Buzwagi,Mhandisi Philbert Rweyemamu(kushoto) akiwa na Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Bi Josephine Matiro wakati wa uzinduzuzi wa jengo la Maabara katika shule ya Sekondari Ngokolo...
View ArticleUBUNGE VITI MAALUM VIJANA BUKOBA;ANTU MANDOZA AJITOSA KUCHUKUA FOMU
Mgombea Ubunge Viti Maalum Vijana Bukoba Bi. Antu Mandoza(Kulia) akirejesha Fomu ya Kuomba Ridhaa kuteuliwa kugombea Ubunge wa Viti maalum Vijana Bukoba katika ofisi za umoja huo Mjini Bukoba, ahaidi...
View ArticleLEAH SAMIKE ACHEZA KARATA MBILI MKOANI SINGIDA
Katibu wa UWT Kata ya Majengo, Zaitun Mlau akipokea fomu ya kugombea viti maalum Singida kutoka kwa Leah Samike (kulia) July 19.Katibu wa CCM Singida Mjini, Magreth Ndwete akipokea fomu ya kuomba...
View ArticlePOLISI YATIA MBARONI WALIOFANYA SHAMBULIZI STAKISHARI
Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam,Kamishina Suleiman Kova akionyesha bunduki zilizoporwa katika uvamizi wa uliofanywa na majambazi katika kituo stakishari,Tazara leo jijini Dar es...
View ArticleMISS KILIMANJARO AMBASSADOR YATOA MSAADA KWA FAMILIA ZA VIJIJI VYA RAU NA URU
Mkurugenzi wa Shindano la Miss KiliamnjaroAmbassador,Jackline Chuwa akikabidhi msaada wa nguo na viatu kwa wakazi wa vijiji vya Ulu na Rau vilivyopo karibu na mji wa Moshi kwaudhamini wa kampuni ya...
View ArticleMAGUFULI AZOA WANACHAMA WAPYA ALIPOKUWA AKIWASHUKURU NA KUWAAGA WAKAZI WA MJI...
Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli akipokea kadi za Wanachama wa vyama mbalimbali vya upinzani na kujiunga na CCM,jioni hii katika viwanja vya mji mdogo wa...
View ArticleJOSEPHINE MGAZA AGOMBEA VITI MAALUM TANGA
Mgombe ubunge viti maalumu mkoa Wa Tanga. Wanawake ni nguzo ya maendeleo. DHAMIRA YANGU 1. Kuwaunganisha wanawake wote Wa mkoa Wa tanga 2. Kujenga jumuiya imara ya UWT. 3. Kusaidia na kuboresha maisha...
View ArticleNASSARI ASHIRIKI UJENZI WA DARAJA LA KWA POLE,ATOA MIFUKO 50 YA SARUJI NA...
Mbunge Nassari akishiki katika shughuli za Ujenzi wa daraja la kwa Pole.Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassari akikabidhi mifuko 50 ya saruji ,vioande 30 vya nondo pamoja na tanki la maji...
View ArticleSIMBA SPORT CLUB YAZINDUA MKAKATI UITWAO MABALOZI WA SIMBA
Balozi wa Simba Octa Mshiu akipokea Hati ya Ubalozi kutoka kwa Rais wa Simba Evans Aveva. Anayeshuhudia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Eaggroup Imani Kajula Dhima yetu ya kuendeleza mabadiliko ndani ya...
View Article