Mgombe ubunge viti maalumu mkoa Wa Tanga.
Wanawake ni nguzo ya maendeleo.
DHAMIRA YANGU
1. Kuwaunganisha wanawake wote Wa mkoa Wa tanga
2. Kujenga jumuiya imara ya UWT. 3. Kusaidia na kuboresha maisha ya wanawake Wa makundi
mbalimbali
4. Kuwa mtetezi na mwakilishi Wa wanawake katika masuala ya kijamii na kiuchumi.
5. Kusaidia uanzishwaji Wa miradi ya kiuchumi ili kupambana na umasikini.
6. Nitakuwa mtumishi wenu na sio kiongozi. Nichague Mimi nikawatumikie kwa manufaa ya wanawake
Wa mkoa Wa Tanga.
Daima wanawake ni nguzo ya jamii.
** Chagua Josephine Mgaza***