Quantcast
Channel: Father Kidevu
Viewing all articles
Browse latest Browse all 10598

SIMBA 5 WASHINDWA KULIANGUSHA DUME LA NYATI

$
0
0
KATIKA kile ambacho kilionejkana ni kama mchezo wa kuigiza, Simba watano walio na njaa walimzingira nyati dume katika mbuga ya Londolizi iliyo jirani na hifadhi ya Kruger nchini Afrika Kusini.


Nyati huyo licha ya wingi huo wa Simba lakini hakusita wala kuwaogopa Simba hao na kupambana vikali hadi waliposhindwa zoezi lao hilo.

 Simba hao wakijaribu kumwangusha Nyati huyo bila mafanikio.
Vita iliebndelea na mwisho Simba waliondoka bila mafanikio.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 10598

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>