Quantcast
Channel: Father Kidevu
Browsing all 10588 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WARSHA YA KUPUNGUZA VIFO NA MAJERUHI WA AJALI ZA BARABARANI YAFANYIKA JIJINI...

Kamishina Msaidizi wa Kikosi cha Usalama Barabarani,Johansen Kahatano akifungua rasmi warsha ya waandishi wa habari ya kupunguza ajali na vifo vinavyotokana na ajali za barabarani iliyoandaliwa na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JERRY SLAA AREJESHA FOMU YA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA UKONGA

Mjumbe wa Halmashauri Kuu na Kamati Kuu ya CCM taifa, Jerry William Silaa akionyesha fomu aliyojaza kwa ajili ya kuomba kuteuliwa kugombea Ubunge Jimbo la Ukonga katika uchaguzi mkuu utakaofanyika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TCRA YAPATA MKURUGENZI MPYA

Mkurugenzi Mkuu Mpya - TCRA, Dk. Ally Y. Simba Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa hivi karibuni alimteua Dk. Ally Yahaya Simba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTIA NIA WA UBUNGE JIMBO LA MWANGA KUPITIA NCCR-MAGEUZI ,YOUNGSEVIER MSUYA...

Mtia nia Msuya akizungumza na wanachma walikokuwa ndabi ya ukumbi wa ofisi za Chama hicho .Mke wa mtia nia Msuya,akisalimia ndani ya ukumbi huo mara baada ya kutamburishwa.Mtia nia wa Ubunge,Wakili wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WEBSITE YA KONGAMANO LA DIASPORA LITAKALOFANYIKA DAR ES SALAAM

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AIRTEL YATANGAZA WASHINDI WA KWANZA WA DROO YA PROMOSHENI YA "JIONGEZE NA...

Meneja uhusiano wa Airtel, bwana Jackson Mmbando akiongea na mshindi aliyepatikana wakati wa kuchezesha droo ya kwanza ya wiki ya promosheni ya "Jiongeze na Mshiko" ambapo wateja wawili wa Airtel...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 0

   Baadhi ya Wananchi wa mji wa Kahama mkoani Shinyanga na vitongoji vyake wakiwa wamefunga barabara wakitaka kumsalimia kwa  furaha kubwa Mgombea Urais kwa chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

FUKO WA FIDIA KWA WAFANYAKAZI WAKUTANA NA WAHARIRI JIJINI DAR ES SALAAM

 MKURUGENZI Mkuu wa kwanza wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi, (WCF), Masha Mshomba, akiwasilisha mada wakati wa warsha iliyoandaliwa na Mfuko huo kwa Wahariri kwenye Hoteli ya Court Yard jijini Dar es...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SKAUTI WA TANZANIA KUSHIRIKI JAMBOREE YA MASKAUTI YA DUNIA NCHINI JAPAN

Vijana skauti  4 pamoja na kiongozi mmoja ni miongoni mwa washiriki wa Jamboree ya  maskauti ya dunia itakayofanyika Nchini Japan katika mji wa Yamaguchi – Kihara hama  kuanzia tarehe 28 Julai hadi 8...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TMT YAKANUSHA WASHIRIKI WAKE KUHUSIKA NA VITENDO VYA NGONO

Kampuni ya Proin Promotions Ltd ambao ni waandaaji na waendeshaji wa shindano la Kusaka vipaji vya Kuigiza lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents (TMT) ambalo linaendelea kufanyika huku washiriki...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAGOMBEA UBUNGE CCM MKOANI ARUSHA WAMWAGA SERA

Kada maarufu wa chama cha mapinduzi ambaye pia ni mfanyabiashara wa madini jijini Arusha Justine Nyari,akizungumza katika mkutano wa hadhara wa kujinadi nafasi ya Ubunge kupitia chama cha mapinduzi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MAONESHO YA 10 YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA YA...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kuashiria kufungua  rasmi Maonesho ya 10 ya Sayansi ya Teknolojia ya Vyuo vya Elimu ya Juu, nchini...

View Article

SIKILIZA "GANDA LA NDIZI" SHILOLE NA MZIWANDA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIMBA 5 WASHINDWA KULIANGUSHA DUME LA NYATI

KATIKA kile ambacho kilionejkana ni kama mchezo wa kuigiza, Simba watano walio na njaa walimzingira nyati dume katika mbuga ya Londolizi iliyo jirani na hifadhi ya Kruger nchini Afrika Kusini.Nyati...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WASIMAMIZI, WAHARIRI NA WADADISI WA UTAFITI WA AFYA YA MAMA NA MTOTO NA...

Mkurugenzi wa Kinga kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,Neema Rusibamanyila akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya wasimamizi,wahariri na wadadisi wa utafiti wa afya ya mama na mtoto na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AIFARIJI FAMILIA YA JOHN MCHECHU

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa(NHC) Bw. Nehemia Mchechu. Rais Kikwete alikwenda nyumbani kwa Mkurugenzi huyo Mbezi Beach jijini Dar es...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMA SALMA KIKWETE APOKEA TUZO MAALUM "CWL-INTERNATIONAL WOMEN OF EXCELLENCY...

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akionyesha Tuzo Maalum aliyokabidhiwa na Profesa Joseph Adaikalam (kulia) Mwanzilishi na Mwenyekiti Mtendaji wa  Chuo Kikuu cha Binary kilichoko Kuala Lumpur nchini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHINYANGA PRESS CLUB YAPATA VIONGOZI WAKE

Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Shinyanga aliyemaliza muda wake, Shija Felician akimpongeza Mwenyekiti mpya wa Waandishi wa Habari Mkoa wa Shinyanga, Kadama Malunde (mwenye suti)...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIOTA KIPYA CHA MARAHA CHA JOZI LOUNGE CHAZINDULIWA MSASANI VILLAGE JIJINI...

Kiota Kipya Cha Maraha kimezinduliwa Kimezinduliwa Jijini Dar es Salaam jana Jiioni. Kiota hicho Jozi Lounge, inapatikana Pande za Msasani Village, jirani kabisa na Shule ya Msingi Msasani.  Mmiliki wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

OLALANG KUNDI PEKEE LITAKALOMBURUDISHA RAIS BARRACK OBAMA KENYA

Huku usalama ukiwazuia maelfu ya mashabiki wa rais wa Marekani kukutana naye ama hata kuhudhuria kongamano atakalohutubia katika ziara yake ya siku tatu mjini Nairobi Kenya, kundi la waimbaji kutoka...

View Article
Browsing all 10588 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>