$ 0 0 Waziri Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye anazungumza live hivi sasa akiwa katika mkutano wa UKAWA na matangazo hayo yanarushwa ITV. FK Blog itawapa taarifa kamili hivi punde.