GLOBAL EDUCATION LINK YASAFIRISHA WANAFUNZI KWENDA KUSOMA NCHINI INDIA
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Global Education Link (GEL) ambao ni wakala wa vyuo vya nje ya nchi, Abdulmalik Mollel akiwa ameambatana na wafanyakazi wa kampuni hiyo kuwasindikiza wanafunzi 30...
View ArticleSUMAYE AMFUATA LOWASSA UKAWA NI WAZIRI MKUU MSTAAFU
Waziri Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye anazungumza live hivi sasa akiwa katika mkutano wa UKAWA na matangazo hayo yanarushwa ITV. FK Blog itawapa taarifa kamili hivi punde.
View ArticleMAALIM SEIF ACHUKUA FOMU ZA KUWANIA URAIS WA ZANZIBAR
Mgombea Urais wa Zanzibar wa UKAWA kupitia Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad akionyesha mkoba wenye Fomu za kuwania nafasi hiyo, leo Agosti 24, 2015, kwenye Ukumbi wa Salama, Bwawani,...
View ArticleMISS TANZANIA USA: MAJAJI WAMPOKONYA USHINDI DOREEN PANGA NA KUMVIKA TAJI...
Aeesha Kamara sasa ndiye mshindi wa Miss Tanzania USA pageant Miss Africa 2014-15 akipata picha ya pamoja na Doreen Panga baada ya kuvikwa taji la Miss Tanzania USA Miss Africa 2014-15 akipata picha...
View ArticleTMT 2015 #mpakakieleweke kimeeleweka kwa Denis Laswai
Mshindi wa TMT 2015 #mpakakieleweke, Denis Laswai akiwa ameinua mikono juu kuashiria ishara ya kumshukuru Mungu Mara baada ya Kutangazwa Mshindi wa TMT 2015 #mpakakieleweke msimu wa pili katika fainali...
View ArticleMAELFU WAFURIKA JANGWANI KATIKA UZINDUZI WA KAMPENI ZA CCM
Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk John Pombe Magufuli akihutubia halaiki iliyohudhuria uzinduzi wa kampeni zake katika viwanja vya Jwangwani jijini Dar es Salaam leo Agosti 23,2015....
View ArticlePSPF WADHAMINI MASHINDANO YA SOKA KWA BODABODA KIPINGUNI B
Afisa Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Delphin Richard akizungumza na madereva bodaboda wa Kipunguni 'B' kuhusu huduma zitolewazo na Mfuko wa Pensheni wa PSPF hasa katika uchangiaji wa hiari...
View ArticleUN KUBORESHA VYOO VYA SHULE 10 KILIMANJARO
Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Celestine Mushy akishuhudia Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na...
View ArticleMAWAKALA WA AIRTEL MONEY MKOA WA DAR ES SALAAM WAPATA MAFUNZO
Meneja Mafunzo ya Biashara wa Airtel Tanzania, Ayubu Kalufya akitoa elimu kuhusu huduma mpya ya ‘Timiza Mikopo kwa Wakala’, wakati wa mafunzo kwa mawakala wa Airtel Money wa mkoa wa Dar es Salaam...
View ArticleLOWASSA AZUNGUKA NA DALADALA HADI GONGO LA MBOTO KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Bi. Kulwa Juma ambaye ni mfanyabiashara ndogo ndogo ya kuuza Mihogo ya...
View ArticleWASIOONA WATISHIA KUTOKUPIGA KURA
Mwenyekiti wa Chama cha Wasioona Tanzania (TLB), Luis Benedicto (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu wasiona kutengwa katika mchakato mzima...
View ArticleMAMA SAMIA AANZA KAMPENI KILIMNJARO
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassan akilakiwa na wananchi baada ya kuwasili Ofsi ya CCM mkoa wa Kilimanjaro leo.Mbombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCMSamia Suluhu Hassan,...
View ArticleCHEKA APATA MENEJA MPYA, KUZICHAPA NA MURRAY UINGEREZA SEPTEMBA 19
Bondia nyota nchini wa ngumi za kulipwa nchini, Francis Cheka atapigana na bondia wa Uingereza, Martin Murray katika pambano maalum lisilo la ubingwa la uzito wa Super Middle.Pambano hilo limepangwa...
View ArticleHuawei P8 wins EISA Award 2015/16
Building on the success of last year’s award-winning Ascend P7, Huawei’s P8 smartphone delivers improved camera performance and surprisingly high-end craftsmanship that gives this affordable device a...
View ArticlePSPF YATOA MSAADA WA MAGODORO CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam, (Anayeshughulikia masuala ya Utawala), Profesa David Mfinanga, (Watatu kushoto), akipeana mikono na Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF,...
View ArticleMAGUFULI AMWAGA SERA MKOANI KATAVI LEO
Mgombea wa nafasi ya Urais kwa tiketi ya Cham cha Mapinduzi (CCM), Dk John Pombe Magufuli akimwaga sera katika uwanja wa Azimio mjini Mpanda, mkoani Katavi hii leo katika siku ya pili ya kampeni zake...
View ArticleLOWASSA ANYWA UJI WA ULEZI SOKONI TANDALE
Mgombea Urais wa Tanzania kwa Tiketi ya Chama cha demoktrasia na Maendeleo Chadema, Edward Lowassa akinywa uji wa ulezi hii leo asubuhi alipotembelea soko la Tandale jijini Dar es Salaam. Lowassa...
View ArticleNEC WAZUNGUMZIA KASORO ZA BVR NA UWEKAJI WAZI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGAKURA
Uboreshaji wa Daftari la kudumu la Wapiga Kura kwa kutumia mfumo wa Biometric Voters Registration (BVR) ulikamilika tarehe 04/08/2015 katika Mikoa yote ya Tanzania Bara na Visiwani. Baada ya...
View ArticleRC ARUSHA KUWA MGENI RASMI KATIKA TAMASHA LA 10 LA VYOMBO VYA HABARI
Katibu wa chama cha waandishi wa habari za michezo na burudani mkoa wa Arusha,(TASWA- Arusha) Mussa JumaNa Woinde Shizza,Arusha Mkuu wa mkoa wa Arusha, Felix Ntibenda,anatarajiwa kuwa mgeni rasmi...
View ArticleMKUU WA WILAYA YA MBEYA ATAKA TAIFA LENYE VIONGOZI WALIOBOBEA KWENYE SAYANSI
Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Nyiremba Munasa akizungumza na viongozi na wajumbe wa Tuiko Mkoa wa Mbeya wakati akifungua mkutano ambao unalengo la kufanya uchaguzi kwa kuwapata viongozi wapya wa Tuiko ngazi...
View Article