Quantcast
Channel: Father Kidevu
Viewing all articles
Browse latest Browse all 10588

KIKWETE AZINDUA MAJENGO PACHA YA GHOROFA 35 YA PSPF TOWERS MTAA WA SOKOINE JIJINI DAR ES SALAAM LEO

$
0
0
 majengo pacha ya ghorofa 35 ya PSPF TOWERS mtaa wa Sokoine jijini Dar es salaam yaliyozindulia  leo Septemba 16, 2015
 Rais Kikwete na viongozi wengine wakifurahia sanamu ya ukutani inayopamba eneo la mapokezi
 Rais Kikwete akiwa na Bodi ya PSPF
 Rais Kikwete akifungua mabango kuzindua sanamu kubwa ya PSPF
 Rais Kikwete akifunua pazia kuzindua rasmi majengo pacha ya PSPF TOWERS
 Rais Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi majengo pacha ya PSPF TOWERS. PICHA ZAIDI>>>FK MATUKIO

Viewing all articles
Browse latest Browse all 10588

Trending Articles