UTT AMIS YAPATA TUZO YA UENDESHAJI BORA WA MIFUKO MWAKA 2015 KUTOKA KWA...
Tuzo ya usimamizi bora wa mifuko iliyopata UTT AMIS kutoka CFIMkurugenzi Mtendaji wa UTT AMIS Dr. Hamis Kibola akiongea na waandishi wa habari(pichani hawapo) kuhusiana na miaka 10 ya Umfuko wa Umoja...
View ArticleMISS UNIVERSE YAPATA MMILIKI MPYA
Maria Mwandaaji wa mashindano ya Miss Universe Tanzania, Maria Sarungi Tsehai alizungumza katika mashindano yaliyopita.Miss Universe Tanzania 2014 Caroline Bernard akitoa elimu ya afya kwa wanafunzi...
View ArticleBIMO MEDIA YAANDAA NYERERE CUP ARUSHA
Mkurugenzi wa kampuni ya BIMO Media , Bertha Ismail akisoma risala katika ufunguzi wa maadhimisho ya ufunguzi wa michuano ya Nyerere Cup 2015 yaliyokuwa yakitimua vumbi katika uwanja wa Stedium jijini...
View ArticleBALOZI WA LUVTOUCH MANJANO ATEMBELEA WASHIRIKI WA SEMINA YA UJASIRIAMALI
Balozi wa Luv touch Manjano Irene Pul Katika Picha ya Pamoja na washiriki wa Semina ya ujasiriamlai ya wanawake kwa kupitia Vipodozi vya Luv Touch manjano iliyochini ya Manjano foundation.Lengo la...
View ArticleMBATIA,SELASINI NA KOMU WAPELEKA MABADILIKO JIMBO LA MOSHI VIJIJINI.
Mgombea Ubunge katika jimbo la Vunjo na Mwenyekiti Mwenza wa UKAWA,James Mbatia akizungumza katika mkutano huo.Mbatia akimtamburisha mgombea udiwani katika kata ya Arusha Chini,Rojas Mmary mbele ya...
View ArticleKITABU AFANYA KAMPENI JIMVBO LA NSIMBO KATAVI
Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Zanzibar, Said Issa Mohamed (kulia) akimtambulisha mgombea ubunge wa jimbo la Nsimbo, Gerald Kitabu ambaye ni mwandishi wa habari wa The Guardian Ltd wakati wa mkutano wa...
View ArticleCHART-SIKILIZA NYIMBO NA KUPATA HABARI KUPITIA POAAPP
“PoaApp” ni application mpya ya kitanzania itakayokujia hivi karibunikwenye simu yako. Kama mtumiaji, utakuwa na uwezo wa kuchati na marafiki zako na ndugu, kusikiliza nyimbo uzipendazo na utaweza...
View ArticleCOPA COCA COLA KUFANYIKA MWAKANI, TFF YAPANGUA KAMATI NDOGO
Mashindano ya Copa Coca Cola yanayodhaminiwa na Kampuni ya Vinywaji ya Coca Cola yaliyokuwa yafanyike katikati ya mwaka huu, sasa yatafanyika mapema mwakani mwezi Februari kuanzia ngazi ya Wilaya na...
View ArticleKIKWETE AZINDUA MAJENGO PACHA YA GHOROFA 35 YA PSPF TOWERS MTAA WA SOKOINE...
majengo pacha ya ghorofa 35 ya PSPF TOWERS mtaa wa Sokoine jijini Dar es salaam yaliyozindulia leo Septemba 16, 2015 Rais Kikwete na viongozi wengine wakifurahia sanamu ya ukutani inayopamba eneo la...
View ArticleJK AKAGUA MAENDELEO YA KITUO CHA MICHEZO KWA VIJANA CHA KIDONGO CHEKUNDU DAR...
Kituo cha Michezo kwa vija na cha Kidongo Chekundu jijini Dar es salaam kinavyoonekana kutoka angani. Rais Jakaya Mrisho kikwete akitembezwa na Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya umeme ya Symbion Bw. Paul...
View ArticleMAGUFULI ALIVYOITEKA KIGOMA UWANJA WA KAWAWA
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kupitia chama cha Mapinduzi Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia maelfu ya wananchi waliofurika kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni za...
View ArticleGSM MEDIA YAIPA TASWA MILIONI 50 KUMUAGA JK NA TUZO ZA WANAMICHEZO
Mkuu wa mauzo na masoko wa GSM Media, Elibariki Lukumay,(kulia) akimkabidhi mfano wa hundi Mwenyekiti wa Chama cha Wandishi wa Michezo (TASWA) Juma Pinto kwa ajili ya kumuaga Rais Kikwete pamoja na...
View ArticleWAWEKEZAJI UTURUKI WAALIKWA KUWEKEZA HIFADHI ZA TAIFA
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa(Tanapa)Allan Kijazi akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Uturuki nchini, Yasemin Eralp(katikati)aliyefika makao makuu ya Shirika hilo leo,kulia ni Katibu...
View ArticleUZINDUZI WA AWAMU YA PILI KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA DHIDI YA WANAWAKE SOKO...
Ofisa Mtendaji Kata ya Temeke, Elias Wawa akizungumza katika uzinduzi wa awamu ya pili kupinga ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake masokoni uliofanyika soko la Temeke Sterio Dar es Salaam jana....
View ArticleBIA YA ASILI YA NZAGAMBA KUKABIDHI MADUME YA NG’OMBE WIKI IJAYO
Promosheni ya Bia ya Asili ya NZAGAMBA iliyozinduliwa tarehe 13 Agosti jijini Mwanza inafikia Kilele mwishoni mwa wiki ijayo ambapo Zawadi kubwa ya Ng’ombe Dume watatu watakabidhiwa kwa...
View ArticleTAMASHA LA 34 LA KIMATAIFA LA SANAA NA UTAMADUNI KUFANYIKA TAREHE 21-27,...
Mwenyekiti wa Tamasha la 34 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni, John Mponda (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu tamasha hilo litakalofanyika kuanzia...
View ArticleLOWASSA ALIPOTIKISA MJI WA CHATO NYUMBANI KWA MPINZANI WAKE
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akihutubia Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Stendi ya Zamani ya...
View ArticleLOWASSA AENDELEA NA ZIARA ZAKE ZA KAMPENI, BARIADI MKOANI SIMIYU LEO
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwapungia mkono wananchi wa Mji wa Bariadi (hawapo pichani) wakati alipowasili kwenye...
View ArticleTANGAZO LA KIFO CHA MARGARETH MWAISAGA
Mpigapicha Mkuu wa Kampuni ya Tanzania Standard Newsapapers (TSN) Limited, wachapishaji wa magazeti ya Dailynews, Sundaynews, Habarileo, Habarileo Jumapili na Spotileo, Mohamed Mambo anasikitika...
View ArticleMAELFU WAJIOTKEZA KATIKA MKUTANO WA KAMPPENI ZA MGOMBEA MWENZA WA UKAWA...
Mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni akihutubia mkutano wa kampeni katika jimbo la Busanda mkoani Geita. Mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni akihutubia mkutano...
View Article