$ 0 0 Wageni wakipata maelezo wakati walipotembelea banda la PANAFKama vile hawaamini!!!! Ni kweli anacheza na nyoka hivyo?Kuhakikisha kumbukumbu hii haipotei kamera za simu zikafanya kazi yakeKikundi hiki cha Ngoma kutoka Shinyanga kilitia fola kwa burudani safi ya Ngoma waliyoitoa.Baadhi ya maafisa wakuu wa kampuni ya Acacia wakifuatilia burudani ya ngomaMichel Ash-Afisa Mkuu wa Masuala ya uendeshaji wa kampuni ya Acacia akizungumza na familia pamoja na wafanyakazi wa mgodi wa BuzwagiSehemu ya familia za wafanyakazi wa mgodi wa Buzwagi wakiwa wameketi baada ya kutembelea mabanda mbalimbali PICHA ZAIDI BOFYA HAPA