Quantcast
Channel: Father Kidevu
Browsing all 10588 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

STANBIC TANZANIA YAZINDUA TAWI JIJINI MBEYA

Mkuu wa wilaya ya Mbeya Bw.Nyerembe Munasa (katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa tawi la Benki ya Stanbic tawi la mbeya uliofanyika mwishoni mwa wiki kulia kwake ni Mwenyekiti wa Bodi ya Benki...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BUSAGAGA NA SALOME WALIVYOMEREMETA

Dickson Busagaga (Blogger) na Salome Mhozya katika picha baada ya kufunga ndoa iliyowafanya kuungana na kuwa mwili mmoja tukio lililofanyika katika kanisa la Mt. Teresia wa Mtoto Yesu jimbo kuu la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LOWASSA AMNADI MBATIA JIMBO LA VUNJO

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Vunjo na Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Mh. James Mbatia, akiwahutubia wananchi wa Mji wa Himo, katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye uwanja wa Polisi Himo,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAFANYAKAZI WA MGODI WA BUZWAGI WASHEREKEA SIKU YA FAMILIA NA FAMILIA ZAO

Wageni wakipata maelezo wakati walipotembelea banda la PANAFKama vile hawaamini!!!! Ni kweli anacheza na nyoka hivyo?Kuhakikisha kumbukumbu hii haipotei kamera za simu zikafanya kazi yakeKikundi hiki...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAJASIRIAMALI WALIOWEZESHWA NA AIRTEL FURSA WATEMBELEA OFISI ZA AIRTEL DAR

Mkurugenzi mkuu wa Airtel Tanzania Sunil Colaso akiangalia bidhaa aliyopokea kutoka kwa Marius Mutashobelwa  mkazi wa Mbeya, ambaye ni miongoni mwa vijana waliowezeshwa na Airtel FURSA walipotembelea...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGUFULI AFANYA KAMPENI CHIMALA,MBARALI,MAKAMBAKO NA MAFINGA

 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi CCM,Dkt John Pombe Magufuli pamoja na Mgombea Ubunge wa jimbo la Makambako Ndugu Deo Sanga wakiwaiambisha wananchi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NHIF YAKABIDHI KADI ZA BIMA YA AFYA KWA WAVUVI LEO JIJINI DAR ES SALAAM

 Kaimu Mkurugenzi mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya  (NHIF) Bwana Michael Mhando akizungumza na wafanyabiashara   wa wasamaki katika Soko la  feri  hawapo pichani juu ya vikundi  vya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS DK BILALI AONGOZA MAMIA YA WANANCHI DAR KUAGA MWILI WA WAZIRI...

 Askari wa Bunge wakibeba Jeneza lenye mwili wa marehemu Celina Kombani, wakati likiwasili kwenye Viwanja vya Karimjee kwa ajili ya shughuli la kuagwa kabla ya kusafirishwa kuelekea mkoani Morogoro kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

USIKU WA ESTER DIANA NANA, ALIVYOMEREMETA

 Bi Harusi mtarajiwa Ester Diana Nana (kushoto) akigonisha glasi na msimamizi wake, Hellen, wakati wa sherehe ya kuagwa (Send off) iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam, mwishoni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TTB TO HOST THE SECOND EDITION OF SWAHILI INTERNATIONAL TOURISM EXPO (S!TE)

Tanzania Tourist Board is pleased to announce that the second edition of S!TE will take place from  October 1 – 3rd   at the Mlimani City Convention Centre, Dar-es-salaam.According to the Acting...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

FASTJET YAONGEZA SAFARI ZAKE KWENDA JOHANNESBURG SASA NI KILA SIKU

 Mkuu wa Biashara wa Fastjet Lan Petrie (kulia), akizungumza katika semina hiyo. Meneja Mkuu wa Fastjet Afrika Mashariki, Jimmy Kibati (kulia), akizungumza katika semina ya siku moja ya waandishi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK BILALI AONGOZA HARAMBEE KUCHANGISHAJI FEDHA ZA UHIFADHI WA VYANZO VYA MAJI...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa hafla ya Uchangishaji fedha kwa Uhifadhi wa vyanzo vya maji katika Mabwawa ya kuzalisha Umeme ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSAFARA WA LOWASSA WASIMAMISHWA ZAIDI YA MARA NNE AKITOKA TANGA KWENDA DAR...

Sehemu ya wananchi wa Mji wa Muheza Mkoani Tanga, wakiwa wamefunga barabara, wakimtaka Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENKI YA CRDB YASAIDIA VIFAA TIBA MANISPAA YA KONONDONI

 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei, akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa tiba kwa ajili ya kuhudumia wagonjwa wa kipindupindu katika Manispaa ya Kinondoni. Mkurugenzi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

EMIRATES YAPATA MENEJA MPYA WA SHIRIKA HILO NCHINI TANZANIA

Meneja mpya wa Shirika la ndege la Emirates nchini Tanzania, Husain Alsafi akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani), wakati alipokuwa akijitambulisha, Dar es Salaam jana. (Picha zote na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGUFULI AENDELEA NA KAMPENI ZAKE,KESHO KUUNGURUMA LIVE UWANJA WA JAMHURI...

 Pichani kati ni Mgombea Urais wa CCM Dkt John Magufuli akiwa sambamba na Mgombea Ubunge wa jimbo la Mtera Ndugu Livingstone Lusinde kwa pamoja wakiwapungia wananchi wa jimbo la Mtera (hawapo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAMELOK SOKOINE AZINDUA KAMPENI ZA UBUNGE MONDULI AHIDI KUENDELEZA ALIPOISHIA...

MGOMBEA jimbo la Monduli kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Namelok Sokoine, akihutubia mkutano wa hadhara wakati wa uzinduzi wa kampeni zake zilizofanyika katika viwanja vya Nanja Mnadani Monduli...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JUMA NYOSO WA MBEYA CITY JELA MIAKA 2 KWA UTOVU WA NIDHAMU

Kamati ya masaa 72 ya uendeshaji wa Ligi Kuu iliyokutana leo kupitia ripoti mbalimbali za michezo iliyochezwa ya Ligi Kuu na Ligi Daraja la Kwanza nchini imemfungia mchezji Juma Nyoso wa timu ya Mbeya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MGOMBEA MWENZA WA UKAWA KUPITIA CHADEMA AFANYA MIKUTANO KILWA KUSINI

 Mgombea mwenza wa urais Chadema, Juma Duni Haji akiwapungia mikono wananchi wakati akielekea jukwaani kuwahutubia kwenye mkutano wa kampeni katika kiwanja cha Mandawa Jimbo la Kilwa Kusini mkoani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DEATHS OF WILDEBEEST IN MARA RIVER A NATURAL PHENOMENON

Wildebeest crossing Mara River during the migration in the Serengeti-Mara ecosystem and it is estimated that more than 250,000 wildebeest die during the journey. ***************PRESS RELEASEDEATHS OF...

View Article
Browsing all 10588 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>