Quantcast
Channel: Father Kidevu
Viewing all articles
Browse latest Browse all 10591

WAKALA WA MAJENGO (TBA) KATIKA MAONESHO YA NANE NANE NZUGUNI DODOMA

$
0
0
 Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu (kushoto) akizungumza na Mbunge wa Jimbo la Segerea, ambaye pia ni Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk. Makongoro Mahanga, wakati wa kula  futari iliyoandaliwa na Mtemvu kwa waumini mbalimbali juzi jijini Dar es Salaam.
 Wageni waalikwa wakipata futari kwenye mgahawa wa City Garden, Gerezani, Dar es Salaam

                                                       Akina mama wakipata futari
                                                              Acha tupate futari ya mwisho mwisho
 Sheikh wa Msikiti wa Azimio, Tandika Dar es Salaam, akitoa mawaidha wakati wa futari hiyo
 Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sofia Mjema akitoa salmau za serikali wakati wa futari hiyo.
 Mtemvu akimpongeza DC wa Temeke, Sofia Mjema. Kulia ni mkewe Mtemvu
Mwenyekiti wa CCM, Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhan Madabida akizungumza na wanahabari wakati wa futari ambapo alisisitiza wanachi kudumisha amani nchini.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 10591

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>