TWIGA BANCORP YASHIRIKIANA NA SUNNRGY SYSTEMS KUSAIDIA WAKULIMA KILIMO CHA...
Mkuu wa Idara ya Uendeshaji wa Shughuli za Kibenki wa Twiga Bancorp Limited, Richard Kombole (kulia), akijadili jambo na wafanyakazi wengine wa Benki hiyo waliopo katika Banda la Maonesho ya Nane Nane...
View ArticleWANACHAMA WA HABARI GROUP WAPELEKA MISAADA VITUO VYA WATOTO YATIMA
Diwani wa Viti Maalumu na Mwenyekiti Mtendaji wa Aisha Sururu Fonditioni, Aisha Sururu kulia akiwakabidhi sehemu ya msaada alioutoa kwa ajili ya kuchangia watoto yatima kwa wanachama wa kikundi cha...
View ArticleCATHERINE FOUNDATION YATOA MKONO WA IDD EL FITIRI KWA YATIMA ARUSHA
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Arusha na Mkurugenzi wa Taasisi ya Catherine Foundation, Catherine Magige akikabidhi msaada wa vyakula na vitu mbalimbali kwa watoto yatima wa kituo cha Help for...
View ArticleMAELEZO NDANI YA MAONESHO YA WAKULIMA NANE NANE NZUGUNI DODOMA
IDARA ya Habari MAELEZO ni Moja ya Taasisi za Serikali zilizo chini ya Wizara ya Habari, vijana Utamaduni na Michezo ambayo ndio Idara yenye jukumu la kusimamia na kuratibu shughuli zote za habari za...
View ArticleMKUU WA MKOA WA RUKWA ATEMBELEA MAONESHO YA WAKULIMA NANENANE NYANDA ZA JUU...
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mhandisi Stella Manyanya (katikati) akikagua mfumo wa umwagiliaji bustani za mbogamboga katika maonesho yanayoendelea ya nanenane kanda ya nyanda za juu kusini jijini Mbeya....
View ArticleGS 1 TANZANIA NDANI YA MAONESHO YA NANE NANE KITAIFA NZUGUNI-DODOMA
Kampuni ya GS1 Tanzania National Limited ni kampuni inayojishughulisha na na utoaji wa huduma za Barcode kwa Bidhaa za Kitanzania. Kampuni hii Mwaka huu ipo ndani ya Banda la Viwanda na Biashara...
View ArticleKONGAMANO LA VIJANA NA RASILIMALI ZA TAIFA LAFANYIKA DAR
Mwenyekiti wa Kongamano la Vijana na Rasilimali, lililofanyika leo RiverSide, Ubungo jijini Dar es Salaam, Christopher Ngubiagai, akifungua mjadala kuhusu mada mbalimbali. Kushoto ni Waziri wa Nishati...
View ArticleMKOA WA VYUO VYA ELIMU YA JUU CCM WAFANYA KUBWA LA WASOMI WA VYUO VIKUU...
Sehemu ya Vijana wa Vyuo Vikuu walioshiriki Kongamano la kujadili Rasimu ya Katiba Mpya na Rasilimali za nchi yetu. Baadhi ya Mafisa wa Mkoa wa Vyuo Vya Elimu ya Juu CCM wakiwa na mgeni rasmi wa...
View ArticleTAMASHA LA IDD MOSI DAR LIVE: WASANII, MABONDIA WALONGA NA WANAHABARI
Meneja wa Matukio wa Dar Live, Abdallah Mrisho (wa pili kulia) akiongea na wanahabari (hawapo pichani) kuhusu burudani mbalimbali zitakazokuwepo Dar Live sikukuu ya Idd Mosi. Mwanamuziki H - Baba...
View ArticleBENKI YA KCB YATOA MISAADA YENYE THAMANI YA SHILINGI TSH 7,200,000 KWA...
Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa benki ya KCB, Christina Manyenye, akimkabidhi Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Mkoa ya Mwananyamala, Dk. Sophinias Ngonyani (kushoto), moja ya vifaa tiba vyenye...
View ArticleKONYAGI WAIOMBA SERIKALI KUONDOA KODI KATIKA ZAO LA ZABIBU
Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Konyagi cha Tanzania Distileries Limited (TDL), David Mgwassa, akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam, kuhusu kuiomba serikali kuondoa...
View ArticleMKURUGENZI WA MAELEZO-MWAMBENE NA MKURUGENZI WA UTAMADUNI-MWASOKO WATEMBELEA...
Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO, Assah Mwambene (kulia) akizungumza jambo wakati yeye na Mkurugenzi wa Idara ya Utamaduni kutoka wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Herman...
View ArticleWAKALA WA MAJENGO (TBA) KATIKA MAONESHO YA NANE NANE NZUGUNI DODOMA
Wakala wa Majengo (TBA), ulianzishwa mwaka 2002 kupitia Sheria ya Wakala Namba 30 ya mwaka 1997. Lengo la kuanzishwa TBA ni kutoa huduma bora na ya gharama nafuu ya makazi kwa watumishi wa umma na...
View ArticleWAPINZANI WACHEZEA KICHAPO KIBONDO
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi akizungumza na madiwani wa CCM wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma wiki iliyopita.Katika hali inayothibitisha ule usemi wa mwanamuziki Chamilion wa Uganda kuwa "fitina yako...
View ArticleDK MAHANGA NA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM WAKAGUA UJENZI WA MIUNDOMBINU...
Mbunge wa Jimbo la Segerea, ambaye pia ni Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk. Makongoro Mahanga akiwaonesha wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Ilala (Jimbo la Segerea), kituo kipya cha Polisi...
View ArticleWAKALA WA MAJENGO (TBA) KATIKA MAONESHO YA NANE NANE NZUGUNI DODOMA
Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu (kushoto) akizungumza na Mbunge wa Jimbo la Segerea, ambaye pia ni Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk. Makongoro Mahanga, wakati wa kula futari iliyoandaliwa na...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AWASILI MKOANI TABORA KUHUDHURIA SWALA NA BARAZA LA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya Viongozi wa Dini ya Kiislamu wa Mkoa wa Tabora, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa...
View ArticlePOLISI KUUKABILI UHALIFU KISASA ZAIDI
Mkurugenzi wa Kampuni ya kizalendo ya Kotes (T) Ltd, Max Komba (wapili kulia-waliosimama), akikagua uchimbaji mtaro kwa ajili ya kutandika nyanya za mfumo wa mawasiliano kwenye kituo cha Polisi...
View ArticleSHEHE PONDA ADAIWA KUJERUHIWA NA RISASI MOROGORO
KATIBU wa Jumuiya ya Kiislamu nchini , Shekhe Ponda Issa Ponda, alijikuta katika wakati mgumu baada ya kuumizwa na kitu kinachodhaniwa kuwa ni risasi kwenye bega lake la kulia wakati akiekelea katika...
View Article