Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha ikulu Rais na mtendaji mkuu wa African Barrick Gold Bwana Greg Hawkins na kufanya naye mazungumzo.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Rais na mtendaji Mkuu wa African Barrick Gold Bwana Greg Hawkins(wapili kushoto) ikulu jijini Dar es Salaam leo.kushoto ni Afrisa mwandamizi wa African Barrick Gold Bwana Deo Mwanyika