SWAHILI RADIO KUANZA KURUSHA MATANGAZO HEWANI HIVI KARIBUNI KUTOKEA JIJINI...
Mkurugkenzi wa Swahili Radio Bwana Dickson Mkama (DMK) akiwa hewani wakati wa majaribioMkurugenzi wa Swahili Radio Bwana Alex Kassuwi (King) akiwa hewani akifanya majaribioBwana DMK akiendelea na...
View ArticleDKT. FENELLA AKUTANA NA WADAU WA FILAMU NA KUZUNGUMZA NAO.
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe. Waziri Dkt. Fenella Mukangara akizungumza na Viongozi wa Steps (hawako pichani) wakati walipomtembelea ofisini kwake kwa mazungumzo juu ya maendeleo...
View ArticleRAIS KIKWETE AKUTANA NA MTENDAJI MKUU WA BARRICK GOLD
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha ikulu Rais na mtendaji mkuu wa African Barrick Gold Bwana Greg Hawkins na kufanya naye mazungumzo.Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo...
View ArticleWANAHABARI WAPEWA SOMO JUU YA MASWALA YA MAZINGIRA NA USAFIRI JIJINI DAR LEO
Mratibu wa Kongamano la siku moja kwa Wadau wa Habari na Mawasiliano hapa nchini,kutoka Chuo Kikuu cha Ardhi,Prof. Msafiri Jackson akiwasilisha mada yake iliyohusu Uchafuzi wa Hewa pamoja na...
View ArticleMOTO KUWAKA REDD'S MISS ILALA LEO
Mratibu wa Shindano la Redds Miss Tanzania Kanda ya Ilala 2013, Juma Mabakila (katikati waliokaa), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, wakati akitangaza zawadi...
View ArticleNGASA KUCHEZEA YANGA AKIMALIZA KIFUNGO CHA MECHI SITA
Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imepitia usajili wa wachezaji wa klabu za Ligi Kuu ya Vodacom na kumuidhinisha Mrisho Ngasa kuchezea timu ya Yanga...
View ArticleMISS TANZANIA BEAUTY PAGEANT USA KUFANYIKA DECEMBER WASHINGTON DC
ANY INFOS FOR NOW CALL 202-830-8904
View ArticleKONYAGI YAWAPIGA MSASA WAHARIRI JUU YA KUTHAMINI BIDHAA ZA NDANI
Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Konyagi cha Tanzania Distilleries Limited (TDL), David Mgwassa (kushoto), akieleza mafanikio ya TDL ikiwa ni pamoja jinsi inavyolipa kodi serikalini ambapo kwa mwezi...
View ArticleUNGA WAKAMATWA HONG KONG NDANI YA CHUMA CHA MASHINE
Wakati vita ya kupambana na wafanya biashara wa dawa za kulevya nchini Tanzania ikisha kasi kwa Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harison Mwakyembe kuweka bayana majina ya Wafanyakazi wa Uwanja wa Ndege wa...
View ArticleRAIS KIKWETE NA MAMA SALMA KIKWETE WAOMBOLEZA KIFO CHA KATIBU MKUU IKULU...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo alipokwenda kuomboleza na kufariji wafiwa kwa msiba wa Katibu Mkuu wa Ikulu mstaafu Marehemu, Abel Mwaisumo, aliyefariki majuzi...
View ArticleRAIS KIKWETE APOKELEWA NA RAIS JOYCE BANDA WA MALAWI KWA FURAHA LEO
Rais Joyce Banda wa Malawi akimkaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete amuda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Lilongwe tayari kuhudhuria mkutano wa wakuu wa nchi za SADC leo
View ArticleMABINGWA BONANZA LA SERENGETI FIESTA WAPATIKANA KIGOMA
Nahodha wa timu ya mashabiki wa Arsenal mkoani Kigoma Samweli Balina akipokea kombe la ushindi na kitita cha fedha taslimu laki tatu kutoka kwa Mkurugenzi wa Utafiti wa Clouds Media Group Bw. Ruge...
View ArticleDORICE MOLLEL NDIYE REDD’S MISS ILALA 2013
Redds Miss Ilala Dorice Mollel (katikati) akipozi na washindi wenzake. Kutoka kulia ni mshindi wa pili Alice Isaac na mshindi wa tatu Clara Bayo. *************Mwandishi WetuMiss Tabata Dorice Mollel...
View ArticleUDHAMINI WA CASTLE LAGER KWA FC BARCELONA KUINUFAISHA TANZANIA
Meneja wa Castle Lager, Kabula Nshimo akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana kwenye mkutano na waandishi wa habari kutangaza udhamini wa Castle Lager kwa klabu ya FC Barcelona ya nchini...
View ArticleCLOUDS MEDIA WATOA DARASA KWA WANA KIGOMA JUU YA FURSA ZILIZOPO MKOANI HUMO
Mkuu mkoa wa Kigoma,Kanali Mstaafu,Mh Issa Machibya akizungumza machache wakati wa ufunguzi wa Semina ya Fursa kwa vijana zinazopatikana ndani ya mkoa wa Kigoma na kwingineko,mapema leo asubuhi.Semina...
View ArticleYANGA YAILAMBA AZAM 1-0 NGAO YA JAMII HII LEO
BAO pekee la kiungo Salum Abdul Telela jioni hii Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam limeipa Yanga SC ushindi wa 1-0 dhidi ya Azam FC na kutwaa Ngao ya Jamii.Katika mchezo huo uliochezeshwa na refa Oden...
View ArticleWAKAZI WA KIGOMA WALIPOKEA KWA KISHINDO TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013
Pichani ni msanii wa bongofleva aJulikanae kwa jina la Shilole na madansa wake wakiwachengua vilivyo wakazi wa Kigoma,waliojitokeza kwa wingi usiku huu kwenye tamasha la Serengeti Fiesta,ndani ya...
View ArticleFOOLISH AGE YA LULU KUZINDULIWA MWISHO WA MWEZI HUU NDANI YA MLIMANI CITY
Msaani mwenye kipaji cha Hali ya juu nchini na Mwenye umri mdogo Elizabeth Michael "LULU"anatarajia kuzindua filamu yake ya Kwanza tokea alipotoka Gerezani, Filamu hii iitwayo FOOLISH AGE ikiwa...
View ArticleMBOWE AWATAKA WATANZANIA KUJADILI RASIMU YA KATIBA NA KUTOA MAONI VYEMA.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mbunge wa Jimbo la Hai, Mh. Freeman Mbowe akihutubia wakazi wa wilaya ya Sengerema Mkoa wa Mwanza mwishoni mwa juma kwenye mkutano wa...
View ArticlePicnic ya wana DMV yafana
Kushoto Hellena Nyerere akiwa mama Kimolo mwenyekiti wa UWT-DMV , mdau na Julia Nyerere katika Picnic ya wana DMV iliyofanyika huko Wheaton Md mwishoni mwa juma. Kushoto mwenyekiti wa CCM DMV Bw.George...
View Article