
















Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipanda mti katika kituo cha afya cha Mwendakulima.

Nape Nnauye Katibu wa halmashauri kuu ya CCM (NEC) Itikadi, Siasa na Uenezi naye akishiriki kupanda mti katika kituo cha afya cha Mwendakulima.
Wana CCM wakiwa katika mkutano wa Ndani mjini Kahama.


Kikundi cha Sarakasi kikionyesha uwezo wao katika sarakasi katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Sinjita mjini Kahama.PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-KAHAMA