REDD'S MISS TANZANIA 2013 WATEMBELEA RADIO 5 ARUSHA
Mtangazaji wa kipindi cha burudani cha Funika Base kutoka Radio 5 ya Mjini Arusha , Julius Kamafa (kushoto) akifanya mahojiano na Washiriki wa Shindano la Redd’s Miss Tanzania 2013 katika studio za...
View ArticleRAIS KIKWETE AFUNGUA SHULE YA MSINGI NTULYA ILIYOJENGWA NA WAMAREKANI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Ijumaa, Septemba 6, 2013, amefungua shule ya kisasa ya msingi ya Ntulya katika kata ya Mondo, Wilaya ya Misungwi,...
View ArticleWASHIRIKI WA TUSKER PROJECT FAME MSIMU WA SITA WAWASILI DAR KWA USAILI.
Baadhi ya washiriki kutoka Mwanza, Arusha na Mbeya waliofika kwaajili ya usahili wa Tusker Project Fame msimu wa sita wakijaza fomu maalumu kabla ya kutembelea Kiwanda cha Bia cha Serengeti jijini Dar...
View ArticleAirtel Rising Stars Afrika kuanza Nigeria Sept 16
Bharti Airtel imetangaza leo kwamba michuano ya kimataifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Stars itaanza kutimua vumbi katika jiji la Lagos nchini Nigeria kuanzia September 16 hadi...
View ArticleUSHIRIKI WA TANZANIA KATIKA OPERESHENI YA ULINZI WA AMANI DRC
Msemaji wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Meja Erick Komba akiongea na waandishi wa habari leo katika ukumbi wa mikutano uliopo makao makuu ya Jeshi hilo jijini Dar es Salaam kuhusu...
View ArticleSIKILIZA KIPINDI CHA INJILI KUTOKA SWAHILI RADIO NA MTANGAZAJI WAKO MARY MGAWE
LEO JUMAPILI SEPTEMBA 08, 2013 KATIKA KIPINDI CHA INJILI SWAHILI RADIO Muasisi na aliyekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la EAGT Marehemu Dkt. Moses Kulola enzi wa Uhai wake. Mtangazi wako Mary Mgawe...
View ArticleNAPE AZINDUA MBIO ZA BENDERA MKOANI IRINGA
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akisalimiana na wananchi wa eneo la Ruaha Buyuni waliokuja kumpokea tayari kwa uzinduzi wa Mbio za Bendera. Wamama kutoka mkoa wa Iringa wakicheza...
View ArticleNARIETHA BONIFACE ATWAA TAJI LA REDD’S MISS TANZANIA TOP MODEL
Mshindi wa taji la Redd’s Miss Tanzania Top Model 2013, Narietha Boniface akipozi kwa picha mara baada ya kushinda taji hilo jana na kuwa mrembo wa pili kuingia katika nusu fainali za Miss Tanania...
View ArticleBRIGITTE ALFED MISS TANZNIA 2012 NEED YOUR VOTE
Wasup fam!Thankyou so much for the support and feedback iv been getting from you lately Love you guys for that♡♥ Now this year Miss World introduced an app,its on the playstore for Android and Iphone...
View ArticleKINANA ATUA NZEGA AGAWA PIKIPIKI KWA KATA 9 KUTOKA KWA MBUNGE DK.KINGWANGALA
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizunumza na wananchi wakati alipowaambia hakuna haja ya kubadilisha mbunge mara kwa mara katika uchagzi kama mbuge aliyepo anafaa na anawatumikia wananchi...
View ArticleKIWANDA CHA KWANZA CHA KUCHAMBUA TAKA CHAZINDULIWA GONGO LA MBOTO JIJINI DAR
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dkt. Terezya Huvisa akisalimiana na baadhi ya wakazi wa Gongo la Mboto mara baada ya kuwasili kiwanda cha KIKUTA.Diwani wa Kata ya Gongo la Mboto ambaye...
View ArticleSERENGETI FIESTA 2013 IRINGA NGOMA INOGILE USIKU HUU
Anaitwa Shilole na Skwadi lake wakilishambulia jukwaa vilivyo usiku huu kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 2013 Pichani ni sehemu ya wakazi wa Mkoa Iringa na vitongoji vyake wakiwa wamejitokeza kwa...
View ArticleRAIS KIKWETE ASIMIKWA KUWA MTEMI WA SUNGUSUNGU KITAIFA
Chifu wa Wasukuma Wilaya ya Kwimba Shimbi Martin Morgan akimabidhi silaha za jadi Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa sherehe za kumtawaza kuwa Mtemi wa Sungusungu Kitaifa, zilizofanyika kijiji...
View ArticleMGAHAWA MPYA WA KISASA WA SIX DEGREES SOUTH WAZINDULIWA ZANZIBAR
Six Degrees South ipo eneo la mji mkongwe na inawapa wageni utulivu wa hali ya juu ili kuwawezesha kupumzika na kujichanganya. Ukichanganya mazingira ya utulivu na na huduma ya bure ya mtandao wa...
View ArticleKATIBU MKUU WA CCM NDUGU ABDULRAHMAN KINANA AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO...
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kufyatua matofali pamoja na wananchi kwa ajili ya ujenzi wa tanki la maji katika kata ya Kagongwa Wilayani Kahama wakati...
View ArticleWAREMBO REDD'S MISS TANZNIA 2013 WALIPOTEMBELEA MARIA STOP KANDA YA KASKAZINI
Baadhi ya wafanyakazi wa Hospitali ya Maria Stop ya jijini Arusha wakisalimiana na warembo wa Redd’s Miss Tanzania 2013 wakati warembo hao walipotembelea Makao Makuu ya Kanda ya Kaskazini mjini Arusha...
View ArticleNAFASI ZA KAZI MMK MEDIA GROUP
Kampuni ya MMK MEDIA GROUPInayomiliki SWAHILI TV,SWAHILI RADIO ONLINE, SWAHILITV.BLOGSPOT.COM na DMK11.BLOGSPOT.COM Inatangaza nafasi za kazi kwa watu wa masoko na matangazo.Wenye uzoefu na...
View ArticleMKUU WA MKOA WA PWANI AZINDUA HUDUMA ZA TIBA KUTOKA KWA MADAKTARI BINGWA KWA...
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza akisalimiana na Mganga Mkuu wa Hospitali ya Wilaya ya Bagamoyo ,Mastidia Rutaihwa baada ya kumkabidhi moja ya boksi la dawa na vifa vilivyotolewa na Mfuko wa...
View Article