Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza akisalimiana na Mganga Mkuu wa Hospitali ya Wilaya ya Bagamoyo ,Mastidia Rutaihwa baada ya kumkabidhi moja ya boksi la dawa na vifa vilivyotolewa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) wakati wa Uzinduzi rasmi wa Huduma za Tiba kutoka kwa Madaktari Bingwa kwa wanachama wa NHIF katika jamii ya Mkoa wa Pwani uzinduzi huo ulizihusisha wilaya zote tata za Rufiji, Mafia na Bagamoyo.Katikati anaye shuhudia ni Mjumbe wa Bodi ya NHIF Charles Kajege.

Mkuu wa mkoa wa pwani Mwantumu Mahiza akiongea na baadhi ya wananchi wa Wilaya ya Bagamoyo waliofika kupata huduma ya matibabu wakati wa Uzinduzi wa zoezi la kutoa huduma za Tiba kutoka kwa Madaktari Bingwa kwa wanachama wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) na Jamii mkoa wa pwani .kulia ni mjumbe wa NHIF Charles Kajege.
Mjumbe wa Bodi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Charles Kajege akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza moja ya boksi lenye vifaa na Dawa wakati wa Uzinduzi rasmi wa zoezi la Huduma za Tiba kutoka kwa Madaktari Bingwa wa NHIF, kwa wanachama wa mfuko huo na jamii ya Mkoa wa Pwani .Uzinduzi huo ulifanyika katikaWilaya ya Bagamoyo kwa niaba ya wilaya za Mafia na Rufiji.
Kaimu Mkurugenzi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) na Mkurugenzi Rasilimali watu na Utawala Beatus Chijumba akielezea huduma zinazotolewa na NHIF wakati wa Uzinduzi wa Zoezi la Kutoa Huduma za Tiba kutoka kwa Madaktari Bingwa kwa Wanachama wa mfuko huo Mkoa wa Pwani. Kutoka kulia ni mkuu wa Mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza , Mjumbe wa Bodi Charles Kajege na kulia ni Meneja Mkuu wa NHIF mkoa wa Pwani, Andrew Mwilunga,